Reputable NGO kutokutoa interview feedback kwa candidate

Mkuu unaonekana upo konki sana,,,,Kwa Ile nafasi ilivyo haiitaji uharak coz Kuna watu 7 so walikuwa wanaongeza mtu wa nane,,ubize ni kweli maana interview ilikuwa nafanya na country Manager na Mama yupo Australia,,,huyo ndo yupo busy sana,,interview nilizofanya mara nyingi zilisababishwa na ubize wa yule mama, imagine toka no fanye application miezi miwili na nusu imepita ila Bado ni ma interview tu
NdO Utulie Sasa,,watakuita.
 
Kama unajua kabisa kuwa wana kawaida ya kuchelewa na kutojibu email kinachokufanya ufungue thread ni nini? Wakati mwingine wanaweza kukuona kama hata kama watakuajiri unaweza kuja kuwa msumbufu. Wewe kama uliambiwa subiri inabidi usubiri.
 
Back
Top Bottom