joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Failed states Kama Kenya, Sri-Lanka na Nigeria ambazo zinashindwa kujenga uchumi wake wa ndani ndizo zinazotegemea "remittances".Kwa wajinga wanaobeza umuhimu wa remittance
Hii hapa jana serikali ya Sri Lanka inaambia raia wake wanaoishi ulaya watume dollars nyumbani kwa haraka kwa maana serikali inaanguka na hawana dollars ya kulipa madeni, kununua madawa na mafuta ya diesel na petrol.
Du 50% of Tajikistan's GDP ni remittances?! Aiseee hali ni mbaya huko.Kwa wale wanaotaka kujua zaidi kuhusu "remittances", faida na madhara yake, wapitie hii article wajue ukweli.The widespread impacts of remittance flows
Remittances have the potential to lift developing economieswol.iza.org
Tony254
dyfre
Geza Ulole
The best 007
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukiona nchi inategemea "remittances" kukuza uchumi wake kwa kiasi kikubwa, hiyo ni dalili ya uchumi uliokosa mizizi imara ndani ya nchi, mfano mzuri ni Kenya na NigeriaDu 50% of Tajikistan's GDP ni remittances?! Aiseee hali ni mbaya huko.
What does a dead state kama Tz doing to resurrect itself? kwa vile mko way below, hovyo sana, at LDC or next it., ni kujipiga kifua na kujiliwaza tu ndio unapenda, ukweli uko pale pale, jikomboeni wachana na Kenya, tunazidi kuwaacha nyuma, mindset yenu ndio mbaya.., zero software. Mwenzako ame post research speaking otherwise, rubbishing the findings ya research uchwara, showing strong positives than negatives, wewe hauna jibu tena, sasa ona response yako? umelambishwa sakafu clean 🤣 😂 😂 😂Failed states Kama Kenya, Sri-Lanka na Nigeria ambazo zinashindwa kujenga uchumi wake wa ndani ndizo zinazotegemea "remittances".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usilinganishe Kenya na Tajikistan. Remittance to Gdp ratio ya Tajikistan ni 50%. Remittance to gdp ratio ya Kenya ni 3/109×100=2.75%. Kwa hivyo remittance ni sehemu kidogo sana ya uchumi wa Kenya. Umuhimu wa remittance kwa uchumi wa Kenya ni kwa sababu hio ndio largest source of foreign exchange. Imeshinda tourism au majani chai ambazo ndio zilikuwa biggest source of foreign exchange kwa miaka nyingi sana.Ukiona nchi inategemea "remittances" kukuza uchumi wake kwa kiasi kikubwa, hiyo ni dalili ya uchumi uliokosa mizizi imara ndani ya nchi, mfano mzuri ni Kenya na Nigeria
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukiona jamaa anaenda kufanya research on negative effects of remittances, ndio ujuwe imewauma ile mbaya.Nilijua imewauma🤣🤣🤣
Hii inaanza households level vibrancy and energy ya aggressiveness kupanga mipango inashuka, dhana ya utegemezi, ndio hii ya nchi kutegemea uomba ombaKwa wale wanaotaka kujua zaidi kuhusu "remittances", faida na madhara yake, wapitie hii article wajue ukweli.The widespread impacts of remittance flows
Remittances have the potential to lift developing economieswol.iza.org
Tony254
dyfre
Geza Ulole
The best 007
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama vyanzo vyenu vya ndani ni vidogo kuliko "remittances" hii maana yake ni kwamba hapo ndani hakuna "enough production of goods and services".Usilinganishe Kenya na Tajikistan. Remittance to Gdp ratio ya Tajikistan ni 50%. Remittance to gdp ratio ya Kenya ni 3/109×100=2.75%. Kwa hivyo remittance ni sehemu kidogo sana ya uchumi wa Kenya. Umuhimu wa remittance kwa uchumi wa Kenya ni kwa sababu hio ndio largest source of foreign exchange. Imeshinda tourism au majani chai ambazo ndio zilikuwa biggest source of foreign exchange kwa miaka nyingi sana.
Kwa wajinga wanaobeza umuhimu wa remittance
Hii hapa jana serikali ya Sri Lanka inaambia raia wake wanaoishi ulaya watume dollars nyumbani kwa haraka kwa maana serikali inaanguka na hawana dollars ya kulipa madeni, kununua madawa na mafuta ya diesel na petrol.
Research yoyote ambayo sio "biased" lazima ionyeshe pande zote mbili, hiyo niliyokuwekea inaonyesha "Pros & Cons za "remittances", ila kwasababu ninyi hamtaki kujua mapungufu yenu, mnazungumzia "positives" pekee.Ukiona jamaa anaenda kufanya research on negative effects of remittances, ndio ujuwe imewauma ile mbaya.
Research yoyote ambayo sio "biased" lazima ionyeshe pande zote mbili, hiyo niliyokuwekea inaonyesha "Pros & Cons za "remittances", ila kwasababu ninyi hamtaki kujua mapungufu yenu, mnazungumzia "positives" pekee.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio kabisa. Huwa wanapenda kujigamba wanaishi nchi za nje kwa wingi lakini hali za nchi zao ni mbaya sana.Ukiona nchi inategemea "remittances" kukuza uchumi wake kwa kiasi kikubwa, hiyo ni dalili ya uchumi uliokosa mizizi imara ndani ya nchi, mfano mzuri ni Kenya na Nigeria
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ninauhakika pamoja na IQ ndogo ya wakenya, lakini wanalijua Hilo vizuri Sana, Kama Nyumbani kwako unajitosheleza, nchi lazima iwe inapokea wageni wengi kuzidi idadi ya raia wake wanaokimbia nchi Yao.Siku zote, tena tangu zamani, ukiona watu wanakimbia nchini kwao, au kwao jua ni dalili ya backwardness ya maeneo hayo. Nchi ikiwa inajitosha huwezi kusikia wakiongelea remittance. wao watakuwa wanaongelea how to expand production and exports. Sasa kwa taifa wambalo ni bingwa wa ku export asylum seekers, litaongelea remittance. Hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyopo.
Katika nchi zenye kuidhalilisha Afrika huko nje ni Nigeria na Kenya, Ethiopia huwa hawajiiti waafrika wakiwa nje ya Africa, Kenya hali ya uchumi/maisha ni mbaya Sana, ndio sababu wanaamua kukimbia nchi hata kwa kujishikiza katika gurudumu la ndege na kuhatarisha maisha Yao.Ndio kabisa. Huwa wanapenda kujigamba wanaishi nchi za nje kwa wingi lakini hali za nchi zao ni mbaya sana.