Kama vyanzo vyenu vya ndani ni vidogo kuliko "remittances" hii maana yake ni kwamba hapo ndani hakuna "enough production of goods and services".
Hili jambo ninashangaa Sana unalichukulia kwa urahisi Sana,madhara yake ni makubwa Sana kwa uchumi na maisha ya wakenya.
Hivi hebu fikiria kwamba, hiyo labour force ya wakenya waliopo huko nje yenye kuzalisha zaidi ya $3B kwa mwaka, Kama wangelikua wanatumika hapo Kenya, unadhani ni kiasi gani cha ajira, goods and services vingezalishwa.
Jambo lingine la kujiuliza ni "Ni nchi zipi ambazo hao wakenya hukimbilia kwenda kufanya kazi, nyingi ni nchi za Ulaya, Amerika, Arabuni, South Africa, Mauritius, na Tanzania. Kwanini wasiende Malawi, Burundi, Central Africa Republic, Burkinafaso, Myamar, Sri-Lanka au Mozambique kwa wingi Kama wanavyokwenda kwenye hizo nchi za kundi la kwanza?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app