joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Wacha maneno yako, wakenya au waafrika wengi wanaofanya kazi nchi za nje ni wake ambao ni "highly qualified professionals, doctors, pilots, Scientists, professors na field zengine muhimu, hao wote Kama Wangebaki Kenya, 98% wangepata ajira, hao 30% ambao hapo Kenya ni unemployed, wengi wao ni less qualified, can't compete in Kenya.Hao watu kama wangekuwa Kenya wangekuwa unemployed. Usijifanye mjinga na mimi najua wewe ni mwerevu sana. Unajua vizuri kwamba Kenya ina 30% unemployment rate kwa youths. Na wengi wao wamesoma. Au unataka kunifunza nchi yangu? Wewe unaijua Kenya kunishinda mimi? Sikiliza ninapokuambia hata sasa hivi kuna watu wana masters na hawana kazi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app