Kwa hiyo watoto wa wazungu ni Zezeta?
Hao wa asia ukiwatoa wajapani wana akili za darasani tena ni kwa kutumia muda mrefu sana kusoma, shule kuanzia alfajiri mpaka usiku.Jamii zinazoongoza kwa watu wenye akili duniani ni watu wa Asia mashariki yaani wachina, wakorea, wajapan n.k kisha wanafuatia wazungu. Ukiangalia hao watu wanawake wao wapo flat.
Una nini cha kueleza mleta mada?
Hamna fallacy kwenye comment yangu mkuu.
Yaani umekaa hapo una chat na Samsung ya mkorea, upo kwenye daladala ya Toyota ya mjapan na umevaa nguo za mchina unasema hawana akili. Are you serious!Hao wa asia ukiwatoa wajapani wana akili za darasani tena ni kwa kutumia muda mrefu sana kusoma, shule kuanzia alfajiri mpaka usiku.
Hii haina fallacy yoyote mkuu.Amka usingizini utajikojolea!
Aanh hapo sawa! Nimeshtuka sana hiko kitako kinaleta miakili mingi mingi🤔😀 makalio
Kwenye list yako wazayuni sijawaona japo siwapendiJamii zinazoongoza kwa watu wenye akili duniani ni watu wa Asia mashariki yaani wachina, wakorea, wajapan n.k kisha wanafuatia wazungu. Ukiangalia hao watu wanawake wao wapo flat.
Una nini cha kueleza mleta mada? Tuache kujazana ujinga
Country rankings by average IQ
- China. 107.19. 206994. 106.79 (230997) ...
- South Korea. 106.43. 23727. 107.42 (22916) ...
- Japan. 106.4. 145459. 105.97 (172681) ...
- Iran (Islamic Republic of) 106.3. 3850. 106.41 (2744) ...
- Singapore. 105.14. 5159. 106 (4390) ...
- Russian Federation. 103.16. 19289. 100.47
Wapo top 10Kwenye list yako wazayuni sijawaona japo siwapendi
Maana wazungu hawana matako makubwa, na kwa vile wanawake wenye matako makubwa ndiyo wanazaa watoto wenye akili, ina maana wanawake wasio na matako makubwa (mfano wazungu - flat screen) wanazaa mazezeta wasio na akili.Zezeta unamaanisha nini?