Research; wanawake wenye big butt ,hujifungua watoto wenye akili zaidi.

Jamii zinazoongoza kwa watu wenye akili duniani ni watu wa Asia mashariki yaani wachina, wakorea, wajapan n.k kisha wanafuatia wazungu. Ukiangalia hao watu wanawake wao wapo flat.

Una nini cha kueleza mleta mada? Tuache kujazana ujinga

Country rankings by average IQ
  • China. 107.19. 206994. 106.79 (230997) ...
  • South Korea. 106.43. 23727. 107.42 (22916) ...
  • Japan. 106.4. 145459. 105.97 (172681) ...
  • Iran (Islamic Republic of) 106.3. 3850. 106.41 (2744) ...
  • Singapore. 105.14. 5159. 106 (4390) ...
  • Russian Federation. 103.16. 19289. 100.47
 
Jamii zinazoongoza kwa watu wenye akili duniani ni watu wa Asia mashariki yaani wachina, wakorea, wajapan n.k kisha wanafuatia wazungu. Ukiangalia hao watu wanawake wao wapo flat.

Una nini cha kueleza mleta mada?
Hao wa asia ukiwatoa wajapani wana akili za darasani tena ni kwa kutumia muda mrefu sana kusoma, shule kuanzia alfajiri mpaka usiku.

Mchina anaiga vingi copy paste, wahindi wanalazimisha watoto wasome asubuhi hadi usiku wa manane,
 
Kwenye list yako wazayuni sijawaona japo siwapendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…