Research yangu imekamilika ya kupima kiasi cha data “kilichopigwa” kwenye bando la mwezi, Haya ndio matokeo niliyopata

Achana na mambo ya kuchapwa lipia Free internet

Uwaweze habar ya kuchapwa
 
Sio tigo tu, hata voda supakasi na airtel Sme wanahitaji hizo nyaraka.

Ni vema waangalie makundi mengine pia kama waajiriwa na wanafunzi. Hapa ndipo watu wanaamua kutumia vishoka wa elfu kumi.
vodacom niliunga ofisini kwao Arusha Supakasi walitaka TIN no tu ambayo unaitengenez mwenyewe tu kweny TRA online
 
Achana na mambo ya kuchapwa lipia Free internet

Uwaweze habar ya kuchapwa
Free internet huko nilishawahi kuwa baharia mzuri tu sina hamu ya kurudi

Ukweli ni kwamba hakuna stable vpn, yani kukiwepo vpn iliyotulia sanasana itadumu mwezi tu baada ya hapo mnaendela na vpn mithiri ya hirizi, masharti kibao. vpn nyingi shahala bagala speed ya kobe, zina limit zamb 300 kwa siku, zinakata kata, masnitch kibao wanazichoma vpn.

Sina hamu na hizo vpna kabisa, natia mpunga na enjoy mambo bila stress
 
Inakera ila basi tuu.
 
Mimi sizungumzii VPN nazungumzia Supakasi ya Vodacom free internet kutoka kwao
 
Mimi sizungumzii VPN nazungumzia Supakasi ya Vodacom free internet kutoka kwao
Free = Bure

Hao supakasi hawanaga bure, kifurushi chao kidogo ni 115,000 kila mwezi

Labda kama ulitaka kumaanisha unlimited ila kuna rafiki yangu ni mzee wa kushusha sana, walichomfanyia wamembana speed line yao kaiweka pembeni na bado ina data 😂😂
 
namaanisha Unlimited ndioo

itakua anapiga GB100 kwa siku nn [emoji23]
 
UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
Kila mwezi una ingiziwa bure au kila mwezi una lipia tena, let say icho cha 300000 gb 35 mwezi,I uki kata una lipia tena iyo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…