Reshuffles UDOM zinatisha

Hahahahhaha,mama mkwe nimeshamjua pia bwana.Ila ni noma,si huyuhuyu alikuwa Swahiba wa mtu anayemuita "Zakayo" leo??,Mhhhhhh maisha bwana.Nahisi angekuja aombe msamaha tusije tukamtaja bure hapa.Au anataka naye kuw mtu wa UN???

Hapo UDOM wapo wengi wa aina yake. Yupo na mkuda mwingine ana roho mbaya kama sumu ya nyuklia, bora ukutane na cobra. Akipewa kamadaraka kidogo ananyanyasa wenziwe. Kapigwa chini anajidai kuleta majungu kwenye mitandao. Hao ni maswahiba na huyo anayejiita mkereketwamkereketwa. Ila nataka wajijue kuwa urafiki wao ni wa mashaka. Watazidi kuumbuka tu.
 
Poleni wanadodoma. Na ile kazi ya islamazation nayo imeisha?maana hiko nasikia ni uislamu mtupu! hasa mambo ya ajira.[/Q

Watanzania na hoja za udini lol!!
 
 
 
 

Jamani wewe unayejiita Mamamkwe unaposhirikiana na mwajriwa wako kupambana na waajiriwa wengine unakosea sana,we ni mama mtu mzima sana kujiingiza kwenye marumbano na wafanyakazi,na kwa upande mwingine kuwatumia wafanyakazi wengine kama huyo anayejiita Nyakashenyi unaowadanganya eti ni rafiki zako unakosea sana.We K....aaa samahani ,Nyakashenyi huyo mama jifanye ni rafiki yako halafu tutaona utakachokipata tofauti na watu wengine.Nyakashenyi we ni mwalimu unaingiliaje mambo ya wafanyakazi waendeshaji watu wakianza kuwaandama wadini mnaanza kutafuta huruma kwa watu,kaka kasome PhD achana na mambo ya kupambana na watu.Mnajidai mnamjua mtoa mada mnadhani ninyi watu hawawajui?wasiowajua ni walioko nje ya UDOM,na kwa taarifa yenu watu wanawacheka sana, acheni kutuaibisha.Mnajifanya eti mtamtaja mtoa mada,mtaje na mimi niwataje wote wawili hata kama mamkwe ni bosi wangu.Watu hawachangii kwa sababu wanamheshimu huyu mama, sio kwamba wanakubaliana na mawazo yake, na pengine wengine wanaogopa kufukuzwa kazi kama anavyojisifia eti amefukuza watu kazi!!!Kwa hiyo jamani mama mkwe umejipa jina lenye heshima sana jiheshimu na walioko chini yako watakuheshimu.Haya mambo yanatuchosha!!kama ukitaka kuendelea kurumbana endelea nami nitakujibu ila angalia usijivunjie heshima,maana huwa sioni sababu ya kumheshimu mtu asiyejiheshimu.Meza hicho kidonge kitakufaa jioni hii.Nyakashenyi sina muda wa kurumbana na wewe maana kinachokusumbua ni njaa,uvivu(baada ya wanafunzi kukurusha kwenye magazeti kwa kuwalazimisha kununua downloaded materials eti unaita "compendium)na kitu kingine kinachokusumbuaga siku zote, kwa hiyo kurumbana na wewe ni kupoteza muda.Endeleeni bhana ila kumbukeni Tanzania ni yetu wote.
 
Hili swala la malumbano na majungu ndo sometimes linanifanya nijifikirie mara mbili kwann nilisoma udom ..yaan hiki chuo Kama Tanzania sina jinsi Bali kusuport nnapotokea
 
Watu wengi UDOM wamekalia umbeya badala ya kufanya kazi. Waliozoeleka kwa manung'uniko na malalamiko pasipo kufanya kazi wanaeleweka kuanzia ujaji wao kazini na utendaji wao. Waislam mnatutia aibu mmeingia kazini kwa kubebwa na mfumo, kazi hamuwezi lakini mnatanguliza umbeya mbele. UDOM ni chuo cha umma tufanyeni kazi tuache majungu na kelele zisizo na maana Watanzania wanatutazameni.
 
its quite number of years ever since we heard rumors at the university of Dodoma but nothing has been taken to rescue the situation some of the workers are get chased away claiming that they are not producing to the maximum likewise other are taken out of the system because of the gossiping that are going on within the university of Dodoma
We need to reach a point where university of Dodoma stand as a center of academic excellence and not a center for political race where even those who are not expert(politicians) are being given opportunity as lecturer and leave those who are competent out of the system. For sure if such situation will remain to prevail it will reach a place where the graduate from university of Dodoma cannot compete with graduate from other universities due to incompetences they will have harvested from Udom
 

Kaka achana na habari za kubahatisha. Bila shaka kuna watu unawadhania. Mimi ni MaMkwe na si mama mkwe kama unavyodhani.
 
Kweli UDOM ipo juu, yaani kila mtu anataka kujua habari za UDOM sikiliza dogo acha kufuatilia maisha ya watu kama una shida ya pesa sema sio kumlalamikia andunje kila mara. Tena jaribu kuandika kwa makini ili watu waelewe andunje hana kosa. Soma organization behavior utaelewa tabia mbalimbali za taasisi
 

You are right.
 
Sikuwa nimekimbia kama mlivyodhani...na siku zote dhana ni HARAMU. Niliwacha kwanza watu wajiachie si vema ku dominate jukwaa. Wewe unajiita Mamkwe ni wazi kuwa una frustration nyingi..ulikuja UDOM kwa mengi, kwanza kwa umri wako huo hutaiwi kuingia humu hata kidogo. Na pili kwa jinsi unavyojifanya mshika dini usingelumbana na watoto wadogo. Umepoteza pesa bure kwenda kumpiga mawe shetani kumbe ulipaswa upigwe wewe mawe...mbona tukiambiwa tuchague kati ya SHETANI na WEWE tutamkumbatia shetani...manake wewe ni mzazi wake. Kazi yako kufatilia mabinti nguo wanazo vaa wewe zinakuhusu nini??? Mbona nawe ulivaa sana enzi zako na matokeo yake unayajua..leo hao waliokuzalisha unawaita wanaharamu?? Nafasi yako inakutaka uhakikishe mazingira bora ya kufanya kazi kwa watumishi. sio udini, umbea na uongo. Unachokifanya ni kujikomba kwa bosi wako badala ya kumshauri kanuni za kazi...lakini bahati mbaya unajiingiza kwa majungu. Ulipaswa ujifunze kazi maana unajua kabisa kuwa ulibebwa fani si yako..wewe umezoea kupima misitari ya desertation. Tulia acha kufatilia watu na kujifanya una uwezo wa kuandika tutakuumbua. Umasikini unakusumbua ww, kula muda huu kabla ------ hajaondoka maana hakika narudia tena ataondoka na mandondocha yake yote. JIHESHIMU uheshimiwe...
 

Wewe unaanguka kama embe bovu
 

Nyakasheni ni kibaraka wa huko Education...hawezi kufanya PhD hana uwezo. Kazi yake kuwalaghai wanafunzi. Kuna mwenzao master imegoma GPA anajikausha nao wanajikausha wanataka aanze upya kusoma udom...tunawakumbusha mapema hakuna hiyo policy...kama ka fail...udsm basi na afungashe virago kama wengine.
 
 
Mamkwe inaonekana una hasira na huyo mkereketwa kupindukia. Lakini Mkereketwa ana mapoint not 2b ignored kam hili la Aziza ambae sasa ni janga la udom kwa upande wetu sisi wanafunzi wa social. Tunalalmika kila uchao lakini hakuna mabadiliko. udom inahitaji kuangaliwa upya
 
Chuo cha kata hiki kinajitangaza.
 
Ikifika tarehe 30 mnaulizia mshahara!!!!!!!!!!!!!!??nyie watu wa udom??kila mtu mtaalam wa management!!!!!!!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…