Wafanyakazi wa UDOM mnapaswa kujifunza toka Taasisi nyingine za Serikali na Binafsi. Wekezeni mda mwingi kwenye mambo ya msingi hasa maendeleo binafsi badala ya kutumia mda mwingi ktk majungu. Badilishaneni uzoefu wa namna ya kujikwamua na hali ngumu ya maisha na siyo kupoteza mda ktk kufuatilia maisha binafsi ya watu. MTAKUFA MASIKINI, tengenezeni historia nzuri ya kuja kuwasimulia watoto na wajukùu zenu.