Jembe na Nyundo
Member
- Aug 26, 2011
- 10
- 1
Ikifika tarehe 30 mnaulizia mshahara!!!!!!!!!!!!!!??nyie watu wa udom??kila mtu mtaalam wa management!!!!!!!!!1
We bushman, hoja yako ni ipi? Kuulizia mishahara mwisho wa mwezi na menejimenti vina uhusiano gani? Halafu mbona swala la mshara sio sehemu ya hoja inayozungumzwa kkt thread hii? Ni bora ukakaa kimya kama huna hoja kuliko kutapikatapika chochote unachohisi kutapika hata kama hakina uhusiano wa kimantiki na hoja ya msingi inayochangiwa. Paaambavu!!