RESISTANT H PYLORI (CHRONIC)

RESISTANT H PYLORI (CHRONIC)

charlesfundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
220
Reaction score
289
Habarini wanajukwaa!
Rejea kichwa cha habari hapo juu mm nikijana mpambanaji lakini hilisuala la matatizo ya tumbo linaninyima raha sana, nirudi kwenye maada mimi ninashida ya hao h pylori wamenisumbua miaka mingi sana na nimetumia dawa nyingi sana kuanzia helgo kit mpaka bismuth lakini hawaponi hao jamaa na tumbo linaendelea kunisumbua na kuninyima raha.

Nina miaka kama mi5 na hilo tatizo linakuja na kutulia tu ila siponi nimefanya pia OGD mara mbili hospitali tofauti zote majibu yakija hakuna athari yo yote imefanywa na hao h pylori swali kama hakuna athari yoyote kwann tumbo linauma sana. Ndugu zangu naomba ushauri najua kunawadau humu na madakitari pia na maspecialist pia, nifanye vipimo gani tena au nitumie dawa zipi tena ila nimetumia sana dawa za hospitali mpaka nimechoka ila bado sijakata tamaa kupona naruhusu michango yenu ndugu zangu na asanteni sana..
 
Ni vizuri ukaamua kula vyakula visivyo na asidi au kuwa na kawaida yaku neutralize kwa kula matunda na mbogamboga kwa Kila mlo. Ni vizuri ukajiepusha na ulaji wa vyakula hivi:- 1. Maharagwe badala yake hutumie kunde, dengu na choroko. 2 Usitumie Limao badala yake tumia Ndimu. 3 Achana na kahawa badala yake tumia chai ya viungo tu usiweke majani ya chai Wala mchaichai. 4. Waweza kupunguza ulaji wa wali na mahindi badala yake utumie mtama, uwele, kamut (ngano asili hutumika kupikia uji maarufu kama uji wa shanga), amaranth(mbegu za mchicha lishe), viazi vikuu, magimbi, ndizi mkojozi, viazi vitamu, . 5 kuacha au kupunguza ulaji wa vyakula vya sukari kama sukari yenyewe, pipi, barafu, soda, energy drinks, keki n.k badala yake waweza tumia asali, tende au agave syrup. 6 tumia maji safi ukiwa na uwezo wakupata maji ya chemchem itapendeza if not tumia ya bomba. 7 penda kuwa na kawaida YAKULA vyakula vyenye viungo vya chakula kama mdalasini, iliki, karafuu n.k maana hivi ni rafiki wa tumbo.
Usitumie pombe ikikulazimu tumia wine kwa kiasi.
 
What you resist persist....

Lipotezee fikiria maokoto Tu litapona
 
Meza punje 3 za kitunguu thomu usiku ukitaka kulala utakuja kunishukuru
 
As
Ni vizuri ukaamua kula vyakula visivyo na asidi au kuwa na kawaida yaku neutralize kwa kula matunda na mbogamboga kwa Kila mlo. Ni vizuri ukajiepusha na ulaji wa vyakula hivi:- 1. Maharagwe badala yake hutumie kunde, dengu na choroko. 2 Usitumie Limao badala yake tumia Ndimu. 3 Achana na kahawa badala yake tumia chai ya viungo tu usiweke majani ya chai Wala mchaichai. 4. Waweza kupunguza ulaji wa wali na mahindi badala yake utumie mtama, uwele, kamut (ngano asili hutumika kupikia uji maarufu kama uji wa shanga), amaranth(mbegu za mchicha lishe), viazi vikuu, magimbi, ndizi mkojozi, viazi vitamu, . 5 kuacha au kupunguza ulaji wa vyakula vya sukari kama sukari yenyewe, pipi, barafu, soda, energy drinks, keki n.k badala yake waweza tumia asali, tende au agave syrup. 6 tumia maji safi ukiwa na uwezo wakupata maji ya chemchem itapendeza if not tumia ya bomba. 7 penda kuwa na kawaida YAKULA vyakula vyenye viungo vya chakula kama mdalasini, iliki, karafuu n.k maana hivi ni rafiki wa tumbo.
Usitumie pombe ikikulazimu tumia wine kwa kiasi.
Ante mkuu barikiwa sana
 
Back
Top Bottom