charlesfundi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 220
- 289
Habarini wanajukwaa!
Rejea kichwa cha habari hapo juu mm nikijana mpambanaji lakini hilisuala la matatizo ya tumbo linaninyima raha sana, nirudi kwenye maada mimi ninashida ya hao h pylori wamenisumbua miaka mingi sana na nimetumia dawa nyingi sana kuanzia helgo kit mpaka bismuth lakini hawaponi hao jamaa na tumbo linaendelea kunisumbua na kuninyima raha.
Nina miaka kama mi5 na hilo tatizo linakuja na kutulia tu ila siponi nimefanya pia OGD mara mbili hospitali tofauti zote majibu yakija hakuna athari yo yote imefanywa na hao h pylori swali kama hakuna athari yoyote kwann tumbo linauma sana. Ndugu zangu naomba ushauri najua kunawadau humu na madakitari pia na maspecialist pia, nifanye vipimo gani tena au nitumie dawa zipi tena ila nimetumia sana dawa za hospitali mpaka nimechoka ila bado sijakata tamaa kupona naruhusu michango yenu ndugu zangu na asanteni sana..