DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ndyo Maana Wengi siku hizi wanaona Bora Kuchomwa Moto na Majibu Yakamwagwe tu..Baharini au MtoniNimeuliza swali inawezekana sijui, ligi ipo wap hapo ? Kama hauna jibu vunga tu, wengine wanaojua jibu, watajibu mkuu🤗
Mwenye ugonjwa pendwa anawahi kuoza auInasoma tarehe 27/10.
Sema kawahi kuzikwa sana au itakuwa kale kaugonjwa pendwa! Jamaa alikuwa akilelewa na mshangazi Sinza Kumekucha wenye historia chafu
Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam
Nilifikiria ingekuwa ni vyema zaidi ungeanzisha uzi huu kutaja kwanza vijiwe vya wanaofanya biashara ya unga kwani ndo kitu kinachowaharibu vijana zaidi kwa sasa Kile unacho kiwaza, nivyema uka anzisha uzi wako piawww.jamiiforums.com
Jamaa alikuwa na jina kubwa sana kwenye tasnia ya uuzaji wa bangi
NIKI MBISHI.
Na ukitaka ganja kali ni Sinza kwa #KAPACHINO....R.I.P RASTA
"Sshh, jiheshimu joh, weed tutachoma
Kimya kimya, we msomeshe "#Kapachino" kwenye kona
Akupe kitu cha Arusha, mi nnacho cha Dodoma
Usisahau kutoka bling tu, Hovak wamenisoma.." ngwea - kimya kimya'
Ukwaju wa kitambo
View attachment 3137862View attachment 3137863View attachment 3137864
siku hizi wauza bhangi huwa hawakamatwi?
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Kufa ni kufa tu hata uzikwe na wachungaji 500,haina maana yyteNataka kujua yule mjinga wa wachokonozi akifa atazikwa kwa namna ipi maana ameshazitukana dini matusi ya kila rangi akaenda mbali zaidi akisema hamna kifo
Yule mwingine wa kushoto ni Nick Mbishi kama sijakosea
Na huyo mwingine Kulia, huenda ndiyo Kapachino mwenye
hapa kwny kifo tulipatwa kabisa hakuna ujanjaaKufa ni kufa tu hata uzikwe na wachungaji 500,haina maana yyte
Siku ya kufa, Je?Duh mwamba tarehe na mwezi wa kuzaliwa tumepishana siku moja tu
Ndio kashatangulia yeye sasaSiku ya kufa, Je?
🥱🥱Ndio kashatangulia yeye sasa
Hii ni njia bora kabisa mkuuNdyo Maana Wengi siku hizi wanaona Bora Kuchomwa Moto na Majibu Yakamwagwe tu..Baharini au Mtoni
Lazima twende sawa na Vijana, vinginevyo wanaweza hata kutuibia Bibi zao 😜Mzee wa kisasa🫡
Kufa ni kufa tu hata uzikwe na wachungaji 500,haina maana yyte