Rest in peace Keron (Juliana Kanyomozi's son)

Rest in peace Keron (Juliana Kanyomozi's son)

TATIANA

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
4,690
Reaction score
2,433
Jamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja...

Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off too...

Rip little Angel.
 
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani? Nakuombea na wewe Mungu akuponye..... May his gentle soul rest in perfect peace.
 
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani? Nakuombea na wewe Mungu akuponye. May his gentle soul rest in perfect peace.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

asthma attack

Thanks Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Jaman nimeumia sana kwa kweli, inabidi JF mnichangie ela angalau nikawakilishe uko kwenye msiba jaman, its soo sad kwa kwel, my tigo ni 0657218890, kwa atakayekugwa jaman

Binamu yaani nimeumia kuliko maelezo....aaah how I wish kungekuwa na jinsi ya kukizuia kifo wapendwa wetu wangekuwa hai mpaka Leo.

Tumwombe Almighty God ampumzishe kwa amani.
 
Back
Top Bottom