Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thx buddy... ni dawa gani hizo nijaribu kutumia.. kifo cha Keron kimenigusa sana
muulize MziziMkavu pia kuhusu dawa
TATIANA kama hujafikisha miaka 30 huu ugonjwa unatibika.huu ugonjwa unanitesea mwananguThx buddy... ni dawa gani hizo nijaribu kutumia.. kifo cha Keron kimenigusa sana
TATIANA kama hujafikisha miaka 30 huu ugonjwa unatibika.huu ugonjwa unanitesea mwanangu
Asante The secretary pole sana na wewe kwa kuuguza mara kwa mara..
Ni dawa gani hyo inayoponyesha mamii? Za mitishamba nilishatumia za pale muhimbili traditional clinic But sikupona though zilituliza tu kwa muda.
So far ninatumia inhalers tu na mafuta flan hivi ya kucontrol allergy.
Kama mwanao anapata na allergy tafuta Olbas oil (infants ) ni nzuri sana.
Pole TATIANA na The secretary kuwa kuuguza huu ugonjwa unatesa sana.Nina mtt wa dadaangu jmn ikimbana aisee huwa hatulali.R.I.P KeronTATIANA kama hujafikisha miaka 30 huu ugonjwa unatibika.huu ugonjwa unanitesea mwanangu
Pole TATIANA na The secretary kuwa kuuguza huu ugonjwa unatesa sana.Nina mtt wa dadaangu jmn ikimbana aisee huwa hatulali.R.I.P Keron