Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Rest in Peace little Keron..... Mungu akutie nguvu Juliana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman nimeumia sana kwa kweli, inabidi JF mnichangie ela angalau nikawakilishe uko kwenye msiba jaman, its soo sad kwa kwel, my tigo ni 0657218890, kwa atakayekugwa jaman
Jamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja...
Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off too...
Rip little Angel.
RipJamani mimepokea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa huyu mtoto....Mungu akutie nguvu Juliana... sote safari yetu ni moja...
Huu ugonjwa unatesa jamani, have been battling with it on and off too...
Rip little Angel.