Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Kumbe. I hope saa hivi ni zamu yetu wengine kuliendeleza gurudumu pale huyo mwenzie alipoishia[emoji16][emoji16][emoji28]Hahahahaa. Amenikosa sababu nilimchukulia rafiki nikaja kutoka na rafiki yao.
Friend of Lord Tariq in track Deja VuMimi namjua Peter Gunz tu...wana undugu?
hata ushoga ni hivyo hivyo... kuna sehemu ukiwa shoga watu wanakuona ni mtu wakawaida kabisa...ila kwa Tz kubali,kataa mwanaume kuvaa hereni ni ishara ya ushog....kuhusu wasanii,sio kila kitu ni chakuiiga maana hata wasani hao pia kuna mashoga..mtu anaweza kuwa shoga(anakunwa) na bado ana mke na watoto,alafu kwenu ni wapiSehemu zote, tofauti inabaki kuwa tafsiri binafsi, Kama kwako zinamaanisha ushoga that's well and good kwa mwingine sio lazima ziwe na maana hiyo hiyo. Dayamondi ana vaa ana watoto na wanawake tofauti, vp huyo naye sio rijali.
Kama nilivyosema kwetu mwanaume ni mwiko kuvaa kofia sababu Ina maanisha wewe sio riziki, maana yetu sio lazima iwe applicable kwako/kote.
HATA MIMI...Mpaka sasa sijajua huyu marehemu alikuwa na wasifu gani haswaa,
But Rip man
for once in your life have respect for the dead hupungukiwi na chochoteMwanaume wa dar kavaa heren huyo
Yaani blah blah nyingi, humu sio fb wangepost kwa lengo la kuwa tumepoteza mwana jf mwenzetu hapo ingekuwa poa, lakini hii jamaa hajulikani alikuwa na michongo gani, au alikuwa na ushawishi gani kwenye jamii,HATA MIMI...
Yaan nmejitahid kufuatilia uzi angalau nitapata chochote kuhusu marehemu sijapata badoMpaka sasa sijajua huyu marehemu alikuwa na wasifu gani haswaa,
But Rip man
Watu wa dar shida tupu!! Post imeletwa bila Maelezo ya kinaYaan nmejitahid kufuatilia uzi angalau nitapata chochote kuhusu marehemu sijapata bado
Kwani lazima kila mtu umjue? Ndo maana nimeandika wanaomjuaYaani blah blah nyingi, humu sio fb wangepost kwa lengo la kuwa tumepoteza mwana jf mwenzetu hapo ingekuwa poa, lakini hii jamaa hajulikani alikuwa na michongo gani, au alikuwa na ushawishi gani kwenye jamii,
HayaKwani lazima kila mtu umjue? Ndo maana nimeandika wanaomjua
Halaf hawatak kutoa wasifu wa marehemu sasa sijui wameleta taarifa kwa ajili ya nini humu kama hawataki kutuhabarishaWatu wa dar shida tupu!! Post imeletwa bila Maelezo ya kina