Rest In Peace Kizzo Gunz

Rest In Peace Kizzo Gunz

Hahahahaa. Amenikosa sababu nilimchukulia rafiki nikaja kutoka na rafiki yao.
Duh! Kumbe. I hope saa hivi ni zamu yetu wengine kuliendeleza gurudumu pale huyo mwenzie alipoishia[emoji16][emoji16][emoji28]
 
Duh! Kumbe. I hope saa hivi ni zamu yetu wengine kuliendeleza gurudumu pale huyo mwenzie alipoishia[emoji16][emoji16][emoji28]
Kazi sana kuwa kama yule aisee. He was a man na nusu basi tu mie kichwa changu [emoji3][emoji3]
 
Sehemu zote, tofauti inabaki kuwa tafsiri binafsi, Kama kwako zinamaanisha ushoga that's well and good kwa mwingine sio lazima ziwe na maana hiyo hiyo. Dayamondi ana vaa ana watoto na wanawake tofauti, vp huyo naye sio rijali.

Kama nilivyosema kwetu mwanaume ni mwiko kuvaa kofia sababu Ina maanisha wewe sio riziki, maana yetu sio lazima iwe applicable kwako/kote.
hata ushoga ni hivyo hivyo... kuna sehemu ukiwa shoga watu wanakuona ni mtu wakawaida kabisa...ila kwa Tz kubali,kataa mwanaume kuvaa hereni ni ishara ya ushog....kuhusu wasanii,sio kila kitu ni chakuiiga maana hata wasani hao pia kuna mashoga..mtu anaweza kuwa shoga(anakunwa) na bado ana mke na watoto,alafu kwenu ni wapi
 
Muumba amekataa mwanaume kujiremba na mapambo ya kike na Wa kike kujiremba na ya kiume sasa huyu ameamua kuwa shoga Muumba ampe makazi aliyoyahitaji wakati Wa uzima wake.
 
Back
Top Bottom