Rest In Peace Kizzo Gunz

[HASHTAG]#mzigua[/HASHTAG]90 [HASHTAG]#nyaningabu[/HASHTAG] kuna kitu hamjakitaja kuhusu Marhum alikuwa Muasisi wa mtandao maarufu wa enzi zile kabla ya Jambo forums/Jamii Forums. RIP Franklin.

Kizzo Gunz, alikuwa kati wa waasisi wa JamiiForums wakati ule tunaita JamboForums. Alikuwepo sana hapa.

Lala salama Franklin Ndosi aka Kizzo Gunz. Pumzika sasa, na lala Salama. Amina.
 
Nenda Tanga na Mombasa ndio stahili za mashoga kujitambulisha.
Hili lipo wazi na linajulikana.
sasa usihukumu kwa jumla.
kama haujawahi kumuona MTU akifanyiwa huo mchezo.utamuitaje shoga.
wewe huyu marehemu UNAMJUA?ALISHAWAHI KUKWAMBIA KWAMBA YEYE NI SHOGA?
 
Huyo maarufu kitambo toka miaka ya 2000 kupanda
Umaarufu wake ni kwenye masuala gani hasa?.
Wekeni wazi mnaomjua muondoe hii Shaka, isije ikawa alikuwa maarufu kwenye mambo ya aibu manake Mimi ndivyo navyohisi, umaarufu gani ambao haujulikani kwenye jamii, umaarufu gani wa private,
 
Foleni inasogea.
Jiandae trainer.
Pole mwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…