Rest In Peace Kizzo Gunz

Mwacheni marehemu apumzike kunako mstahili wazeyaa

Ova
 
ni vitu vya ajabu sana.
MTU keshajilalia zake .anapambana na hali yake huko.
mnaanza kujadili heleni zake.
simtetei lakini pia tusimuhukumu.
MAREHEMU HASEMWI VIBAYA.
Zama hizo zimekwisha mzee tuseme ama tusiseme hatuwezi kukupunguzia lolote kama hadhabu ipo kwa Mola wetu haiepukiki..

Sasa kama marehemu kazingua kwanini tusiseme???
 
wamasai wote ni wanawake?
acheni kujadili maisha ya MTU.
SIO KILA MWANAUME ANAE VAA HERENI NI SHOGA.
unaweza ukawa shoga na usivae hereni.
acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…