Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalau kidogo hapo tumeanza kukuelewa kuliko ulivyoiweka pale juu kwenye mada yako.binafsi nilikuwa simfahamu. RIP.Alikua anaumwa figo mkuu. Kaka yake na Carol Ndossi wa Nyama Choma Festival.
umzike kwa amani mwanahatrakati wetuKwa wale mnaomfahamu Franklin Ndossi (Kizzo Gunz) he's no more.
Rest In Peace Dear Friend. View attachment 733582
Hajawahi kuwa shemeji angu kweli, maana ndio watu ambao watoto wa mujini mnawapendaga sana hao.Alikua mnyamwezi sana yani. Kuhusu watoto wa kike alijitahidi [emoji23]
[HASHTAG]#mzigua[/HASHTAG]90 [HASHTAG]#nyaningabu[/HASHTAG] kuna kitu hamjakitaja kuhusu Marhum alikuwa Muasisi wa mtandao maarufu wa enzi zile kabla ya Jambo forums/Jamii Forums. RIP Franklin.Hajawahi kabisa. Alikua mshkaji tu. Sema ningekua sio mchoyo angenikula siku nyingi sana.
Kavaa nini masikioni ...anyway tangulia tu ,tunafuata
Itakuwa kawachapa nao sana!Jamaa anaonekana alikuwa na pigo za kinyamweizi sana wacha watoto wa kike wamlilie tu. Record ya kuwachapa nao itakuwa extreme.
R.I.P nigga Kizzo Guns
[HASHTAG]#nyaningabu[/HASHTAG] kuja huku Dogo. Ule mtandao ulikuwa waitwaje? Enzi za Darhotwire na hotmail back 2000'esSijawahi kujua hili mkuu.
Zama hizo zimekwisha mzee tuseme ama tusiseme hatuwezi kukupunguzia lolote kama hadhabu ipo kwa Mola wetu haiepukiki..ni vitu vya ajabu sana.
MTU keshajilalia zake .anapambana na hali yake huko.
mnaanza kujadili heleni zake.
simtetei lakini pia tusimuhukumu.
MAREHEMU HASEMWI VIBAYA.
acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shogawamasai wote ni wanawake?
acheni kujadili maisha ya MTU.
SIO KILA MWANAUME ANAE VAA HERENI NI SHOGA.
unaweza ukawa shoga na usivae hereni.
Aisee sio mchezo, ulimkazia mwamba ila freshi mbele yake nyuma yetu. R.I.P mchiziHajawahi kabisa. Alikua mshkaji tu. Sema ningekua sio mchoyo angenikula siku nyingi sana.
Hajawahi kabisa. Alikua mshkaji tu. Sema ningekua sio mchoyo angenikula siku nyingi sana.