Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
wengine had wameweka picha zake nakuanza ku dought gonjwa lililomchukuaWengine hao wa kike bendera ufuata upepo.
Ata kama alikuwa player awezi maliza kijiji [emoji1]
R.I.P
Dah!! Ingekuwa poa wangejitaja kama wamepitiwa pia.wengine had wameweka picha zake nakuanza ku dought gonjwa lililomchukua
Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjuaIla kuna msemo mmoja ukiona manyoya ujue ndege kashaliwa so wanaompost waweza kukuta aliwala zaidi ya 75%. Hata uwe na lifestyle gani wadada wa mjini wanavyojidai kujikubali hawawezi kumpost ovyo tu mtu
Kabisa mkuu.Kweli mwaya
Ndiyo maana nkasema 75% wewe upo kwenye ile 25% ya waliokoswa koswa[emoji16]Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjua
Angekufa kwa ngoma ingekuwaje wangempost kweli!?...Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjua
ukapata dhambi kwa nani?Mwanaume mvaa Hereni ? Aaaaaaa! Ninyamaze nisije toa lugha mbaya nikapata Dhambi bure
Sababu Mombasa wanashika wenye hereni haina maana kila sehemu ni hivyo. Kwetu ukija umevaa kofia ina maana wewe Ni shoga, haimaanishi kote wavaa kofia ni mashoga.acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shoga
anasemwa nyerere,yesu,mtume sembuse huyo mvaa hereniUmeambiwa ni marehemu, Sa unamsema ili iweje? Kumbuka marehemu hana fursa ya kukujibu why umseme?
sehemu gani Tz ukivaa hereni kama hizo za marehemu unaonekana wewe ni rejaliSababu Mombasa wanashika wenye hereni haina maana kila sehemu ni hivyo. Kwetu ukija umevaa kofia ina maana wewe Ni shoga, haimaanishi kote wavaa kofia ni mashoga.
Na sio kila mvaa hereni katoboa, kuna magnet earrings Dada.
Sehemu zote, tofauti inabaki kuwa tafsiri binafsi, Kama kwako zinamaanisha ushoga that's well and good kwa mwingine sio lazima ziwe na maana hiyo hiyo. Dayamondi ana vaa ana watoto na wanawake tofauti, vp huyo naye sio rijali.sehemu gani Tz ukivaa hereni kama hizo za marehemu unaonekana wewe ni rejali