Rest In Peace Kizzo Gunz

Rest In Peace Kizzo Gunz

Ila kuna msemo mmoja ukiona manyoya ujue ndege kashaliwa so wanaompost waweza kukuta aliwala zaidi ya 75%. Hata uwe na lifestyle gani wadada wa mjini wanavyojidai kujikubali hawawezi kumpost ovyo tu mtu
Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjua
 
acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shoga
Sababu Mombasa wanashika wenye hereni haina maana kila sehemu ni hivyo. Kwetu ukija umevaa kofia ina maana wewe Ni shoga, haimaanishi kote wavaa kofia ni mashoga.

Na sio kila mvaa hereni katoboa, kuna magnet earrings Dada.
 
Uzi Umekuwa Syo wa pole tena
Umekuwa uwanja wa vita

Ova
 
Sababu Mombasa wanashika wenye hereni haina maana kila sehemu ni hivyo. Kwetu ukija umevaa kofia ina maana wewe Ni shoga, haimaanishi kote wavaa kofia ni mashoga.

Na sio kila mvaa hereni katoboa, kuna magnet earrings Dada.
sehemu gani Tz ukivaa hereni kama hizo za marehemu unaonekana wewe ni rejali
 
sehemu gani Tz ukivaa hereni kama hizo za marehemu unaonekana wewe ni rejali
Sehemu zote, tofauti inabaki kuwa tafsiri binafsi, Kama kwako zinamaanisha ushoga that's well and good kwa mwingine sio lazima ziwe na maana hiyo hiyo. Dayamondi ana vaa ana watoto na wanawake tofauti, vp huyo naye sio rijali.

Kama nilivyosema kwetu mwanaume ni mwiko kuvaa kofia sababu Ina maanisha wewe sio riziki, maana yetu sio lazima iwe applicable kwako/kote.
 
Kabisa mkuu.

Wengine wanaunganisha stor ili waonekane wanamjua sana marehemu.

RIP
Ndo wabongo. Kuna mmoja anaomboleza kwa hisia jamani utasema anamjua marehemu in person kumbe kamuona kwenye group na tulimuadd last month.
 
Ndiyo maana nkasema 75% wewe upo kwenye ile 25% ya waliokoswa koswa[emoji16]
Hahahahaa. Amenikosa sababu nilimchukulia rafiki nikaja kutoka na rafiki yao.
 
Back
Top Bottom