Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nyinyi mastering ,naogopa sana wadada wa mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeamua kutusimanga tu
Akili kumkichwaaHahaha, hawataki kupoteza MTU,so utaambiwa ni mshikaji kitambo,best sana ,yaani jibu utapewa tu,ni wewe kujiongeza
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Swadakta, kumbe mnajua?,mie huwa nabaki kutazama tu ,Uzuri vidume tukibaki wenyewe tunatonyana ,mkuu hapa nishapiga ,sasa wewe cheza naeAkili kumkichwaa
Mimi sie sasaHahaha nyinyi mastering ,naogopa sana wadada wa mjini
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Wewe kwa comments na posts za humu ,unaonekana wa mjini hasa ,tena hasaMimi sie sasa
Mamaaaaa!UKIMWI UTAUA WENGI SANA,ULIANZA NA WAKINA AMINA CHIMNOFU,MO MPAKABARABARA,MPAKA NA WAKINA MPAKA NA SISI WAVUA KONDOO AMBAO TWAWALA KONDOO WETU WADOGO KWA WAKUBWA,SUBWAHANA MAULANA TUHURUMIE.
ANY WAY RIP WE JAMAA
acha kutetea use*ge mjinga wewe...wamasai ule ni utamaduni wao kutoboa masikio na hawatoboi kwa muundo huo ambao marehemu ametoboa....wenyewe wanatoboa matundu makubwa...hizo hereni marehemu alizo vaa ni ishara ya ushoga na ukienda sehemu kama mombasa ukipita umevaa hereni kama hizo usishangae ukishikwa t*ko hajalishi wewe ni shoga au sio shoga
Msitufanyie hivyo. Ndo maana wakati mwingine tunaogopa kuliwa kwa sababu hizi hiziSwadakta, kumbe mnajua?,mie huwa nabaki kutazama tu ,Uzuri vidume tukibaki wenyewe tunatonyana ,mkuu hapa nishapiga ,sasa wewe cheza nae
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Sawa Daktari wakeUKIMWI UTAUA WENGI SANA,ULIANZA NA WAKINA AMINA CHIMNOFU,MO MPAKABARABARA,MPAKA NA WAKINA MPAKA NA SISI WAVUA KONDOO AMBAO TWAWALA KONDOO WETU WADOGO KWA WAKUBWA,SUBWAHANA MAULANA TUHURUMIE.
ANY WAY RIP WE JAMAA
HahahaMimi kabisa mimi. Labda uwe umeamua kunisingizia
Hiyo tuition alikuwa akifundisha Tz nzima!? Taja pahali palipofanyikia hiyo tuition.Ni mtoto wa mwalimu Ndossi,mtaalam wa tution enzi hizo???
Huenda alikuwa kama akina Le mutuz.Lol. Sababu alikua mkaka wa mjini.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]You are missing a point hapa! Nia ya huyo jamaa anataka kutufunza tuliobaki kuwa waangalifu na muonekano wako. Obvious ukivaa hereni tutakufikiria kuna wanaume wanakufaidi.