Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Yani sijawahi waza maana lifestyle yake ni ya tofauti kabisa. [emoji1]Ukijielewa ndo huliwi? Mtoto mzuri vile shombe shombe kweli wakware wa mji wamwangalie tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sijawahi waza maana lifestyle yake ni ya tofauti kabisa. [emoji1]Ukijielewa ndo huliwi? Mtoto mzuri vile shombe shombe kweli wakware wa mji wamwangalie tuu
Yule mblack siyo???Thubutuuu. Hivi bado yuko na yule mtoto baby daddy number 2?
Ooh nilijua wote wa jamaa.No. Yule wa kwanza sijui kazaa na nani. Yule mdogo wa kiume ndo kazaa na huyo mkaka mblack.
Ndoa hapana. Labda wawe wamefunga kwa siri wambea wa mji tusijue [emoji23][emoji23][emoji23]. Itakua kaokoka si wajua siku hizi kwenda kanisani imekua fashion ya wadada wa mji eeh. Anasali kwa Bushir au VCC? Maana ndo makanisa yao hayoOoh nilijua wote wa jamaa.
Naona bado yuko na mblack japo sikuhizi hampost sana. Naona sikuhizi kanisani kwa sana.
Hivi ana ndoa??
[emoji23][emoji23][emoji23] sidhani itakuwa bado hana ndoa.Ndoa hapana. Labda wawe wamefunga kwa siri wambea wa mji tusijue [emoji23][emoji23][emoji23]. Itakua kaokoka si wajua siku hizi kwenda kanisani imekua fashion ya wadada wa mji eeh. Anasali kwa Bushir au VCC? Maana ndo makanisa yao hayo
Muna at least alikua na sababu ya kuokoka. Wengine naona fasheni tuu na wanarudigi kanisani kusaka ndoa kwa vijana wa kanisani.[emoji23][emoji23][emoji23] sidhani itakuwa bado hana ndoa.
Kaokoka kabisa maana sikuhizi anapost yupo kanisani na Bible tu[emoji4][emoji4]
Naona Munalove kawafungulia. Sijajua anasali wapi.
Ukifuatilia Historia za wadada wa mjini ni waongo hatari yani wanajifanyaga wame hustle kupata pesa kumbe wamedanga [emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanarudi kwa Sir God sababu madanga hayana hela.
Huyo baby dady namba 2 ndo sijaijuaga background yake.
Huwa nasema Muna hajafanya fasheni.Muna at least alikua na sababu ya kuokoka. Wengine naona fasheni tuu na wanarudigi kanisani kusaka ndoa kwa vijana wa kanisani.
Baby daddy number 2 nilimuachaga chuo IFM. Ni Kijana mdogo kwa Sachko.
Mwenyezi Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo .Hili kwa muonekano tu lilikuwa bwabwa
Na wewe utakuwa walewaleMwenyezi Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo .
Kumbe unamjua linamo?Tumuombee maana nae
@Mzigua90 nakupenda[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Ukijielewa ndo huliwi? Mtoto mzuri vile shombe shombe kweli wakware wa mji wamwangalie tuu
Ubarikiwe na BwanaNa wewe utakuwa walewale
Acha kupenda pendaKama mimi ninavyokupenda [emoji173][emoji173][emoji173]