Rest In Peace Kizzo Gunz

Rest In Peace Kizzo Gunz

Ooh nilijua wote wa jamaa.

Naona bado yuko na mblack japo sikuhizi hampost sana. Naona sikuhizi kanisani kwa sana.

Hivi ana ndoa??
Ndoa hapana. Labda wawe wamefunga kwa siri wambea wa mji tusijue [emoji23][emoji23][emoji23]. Itakua kaokoka si wajua siku hizi kwenda kanisani imekua fashion ya wadada wa mji eeh. Anasali kwa Bushir au VCC? Maana ndo makanisa yao hayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sidhani itakuwa bado hana ndoa.

Kaokoka kabisa maana sikuhizi anapost yupo kanisani na Bible tu[emoji4][emoji4]

Naona Munalove kawafungulia. Sijajua anasali wapi.

Ukifuatilia Historia za wadada wa mjini ni waongo hatari yani wanajifanyaga wame hustle kupata pesa kumbe wamedanga [emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wanarudi kwa Sir God sababu madanga hayana hela.

Huyo baby dady namba 2 ndo sijaijuaga background yake.
 
Muna at least alikua na sababu ya kuokoka. Wengine naona fasheni tuu na wanarudigi kanisani kusaka ndoa kwa vijana wa kanisani.
Baby daddy number 2 nilimuachaga chuo IFM. Ni Kijana mdogo kwa Sachko.
 
Huwa nasema Muna hajafanya fasheni.

Soon atapata ndoa.
 
Njemba nzima inavaa hereni. Apumzishwe panapostahili
 
Back
Top Bottom