rest in peace my daddy

rest in peace my daddy

Pole sana Mc Tilly Chizenga, Mungu akupe uvumilivu, R.I.P. baba yetu
 
Pole sana MC Tilly, Mungu awatie nguvu.
 
asanteni wakuu!nipo makaburini tunachimba kaburi!anazikwa pembeni ya kaburi la mama yake aliyekufa 1983!baba yake baba yaani babu yangu alikufa wakati baba ana miaka 9!that is 1942
 
Poleni na msiba Chizenga... Mwenyezi Mungu ajalie marehemu apumzike kwa Amani.
 
Poleni sana kwa msiba Chizenga!..

Tunamuombea apumzike kwa amani.
 
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!


Oh! Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu ampumzishe mzee mahali pema. Safari njema, Mwenyezi Mungu awatie nguvu na awatangulie katika safari yenu.
 
Pole sana kaka, ex I.A.A,..Mungu awape nguvu na faraja katka kpnd hk kigumu! Msiba upo pande zp??!

R.I.P Baba Chizenga...
 
Pole sana kwa msiba, Hiyo ni safari yetu sote, Baba ametangulia, tumuombee apumzike kwa amani. Amen
 
Be strong and take courage! May the good Lord strengthen all the people concerned!
May His soul rest in eternal peace!
 
pole sana mkuu. Mungu akutie Nguvu.
 
Pole sana kamanda, Mungu akutuie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pole kwa familia pia.
 
Back
Top Bottom