TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Naye awe TO tuone
 
Physics tunafanya integration ,geography je Kuna differentiation
 
Andika na wewe tuone
Hiyo physics unaiona lelemama??
Sasa unalinganisha physics na econometrics??mkuu upo serious kweli?!?

Pata na wewe 99% ya phisics tuamini kama kwako ni ya kawaida.

Achana naye huyo Bumunda tu, yaani anaona physics somo la kawaida tu yaani daaah.! Kuna watu envious aseee.! Anashindwa ku acknowledge ubora wa mshikaji.!
 
Achana naye huyo Bumunda tu, yaani anaona physics somo la kawaida tu yaani daaah.! Kuna watu envious aseee.! Anashindwa ku acknowledge ubora wa mshikaji.!
Mimi nitamuelewa endapo ataniambia alisoma physics na akapasua Kama mshikaji
 
Nikiona neno T.O nakumbuka mabweni ya kijiji cha Mirambo pale Mzumbe ambapo huwa wanalala vipanga kama mimi
 
Dah huyu mwamba story zake nimesikia sana, Minaki sijui kama alifika ila walipitaga kina Walter tu...

Moody physics alifariki mkuu.. nimesoma sana kwake, notes zake zilikua zinakupa hints ukachimbe zaidi..
Walter nae alikuwa mkali kimtindo,alinifundisha alternative fulani hivi za practicals za physics.
 
Amefeli au ameDisco mbona uwelewi tofauti ya hivi vitu viwili
 
Kutokana na kauli za wengi humu, jamaa ana arrogance ya kufa mtu.

Aliona kufundisha ndo kila kitu maishani.
Bro, comments zako zina demostrate how smart guy you are.

Ila nikukumbushe kitu, huyo TO kwa sasa ni marehemu, hawezi kujitetea wala hawezi kuomba radhi kwa mapungufu yake aliyokuwa nayo kipindi cha uhai.

Kwa maana hiyo basi, we should all go easy on him. Yaliyobaki tumuachie Muumba wake akamuhukumu.

Nikupongeze kwa mara nyingine kwa comments zako. Especially kule kwenye jukwaa la vyombo vya moto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute hata hiyo physics hawaijui

Jf ni kiboko sana
Yaani we acha tu!!!,Hapa JF watu wengine wanajifanya wajuaji sana hata kubeza mafanikio ya watu wengine.Mtu muungwana hukubali mafanikio ya mwenzake lkn asiye muungwana huyabeza hata km yeye hajawahi fanya chochote na hajui kitu.
 
Hakika mkuu,tuliopita humo tunafahamu Muziki wake,si jambo la kubeza .
 
Jamaa ana utani Sana
Yaani physics akaanze kulinganisha na Geography [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fish farming industry
Asee[emoji1787]
Kwenye timetable yangu ya kujisomea,Geography ilikuwa hainipi presha ya kusoma,yaani kwa wiki naweza ipitia Mara mbili tu,lkn Physics, Hesabu,Chemistry, Biology, nilikuwa natamani niwe nayasoma muda wote,Pamoja na hayo bado Geography haikuniangusha,sasa kufananisha Geo na Physics ni makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…