TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Kuna yule mwl, wa tuition wa physics Abdallah.. Juzi kati kafariki... Huyo ndio tunafahamu.... Sasa Elias kamaliza juzi petroleum engerering chuoni kwetu..
Kafa lini?
Elias alkua anaumwa

Last time ananambia ....."you need to pray for me ukiwa unaomba Vita yangu ni kubwa I took as his normal jokes aisee

Hafu unakuja kunletea za kuleta why nizushe msiba wa RAFIKI am I stupid
 
Elias alkua anaumwa

last time ananambia ....."you need to pray for me ukiwa unaomba Vita yangu ni kubwa I took as his normal jokes aisee

Hafu unakuja kunletea za kuleta why nizushe msiba wa RAFIKI am I stupid
Yeah hizi ndio habari sasa... Unajifanya unamjua ww tu...huyo mtu alikuwa muhimu kuliko k wenu... Ukitoa habari unatoa za kueleweka ... Cause of death, immediately
Or chronic, when and where.... Sasa unaona hilo gazeti lako liko sawa?
 
Ungeweka na picha yake mkuu ingependeza sana
 
Mtanzania mwenye akili zaidi au mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukariri?
Tanzania ina watu wawili tu wenye akili zaidi.
  1. Nyerere
  2. Tuntemeke Sanga
Anyway RIP, Rest in Eternity. May The Holy Mary, Mother of mercy be with you
Humjui jamaa, jamaa hakariri swali la Physics ya Advance anatoa majibu alternatives 3.Physics ya Advance ni pasua kichwa
 
Mtanzania mwenye akili zaidi au mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukariri?
Tanzania ina watu wawili tu wenye akili zaidi.
  1. Nyerere
  2. Tuntemeke Sanga
One day he was talking to me about relativity the way you never heard about

He imagined about Hyper loops and one day I heard musk talking about it

Things like Space Elevators, Thought to Text and Energy-based Paint

Active Integrated Matter and lots of many things ... I wish you could meet him
 
Simjui mshkaji ila nilifanikiwa kumsikia kipindi nasoma na nimeona pics zake FB...
Physics ya advance naijua mziki wake coz nilisoma mechanics tu (subtopics zoote) kwa MAREHEM moudy Physics (Allah amfanyie wepesi safari yake) nikiwa nasubiri kwenda advance ila Alhamdulillah nikachaguliwa MUST diploma 2014-2017...

Nilizipata habari zake mshkaji nyingi sana ikiwemo kusolve swali moja hivi la physics sijui necta ya mwaka gani... jamaa anaanzia kulisolve chini kuja juu.. seems alikuwa anaijua vizuri sana Physics...

Naandika comment hii huku nikiogopa sana (Nami pia 1 day i will pass away na kubaki historia regardless nilikuwa najua au nna umuhimu kiasi gani) pia roho inaniuma sana.

All in all Allah ampe qauli thaabit Al-akhy end of the day we will meet somewhere someday alltogether.

Usiku mwema wakuu
 
Sio kuanzia chini tu, alternative solution tatu 3 za physics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…