Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Pole your sote. Msiba utakuwa wapi? Ndugu yangu nashare naye ukoo, ila simfahamu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasemaga ukimcheka mtu unakuwa kama yeye vipi wewe hukumcheka RAFIKI YAKO Ili uwe kama yeye?Elias alkua anaumwa
last time ananambia ....."you need to pray for me ukiwa unaomba Vita yangu ni kubwa I took as his normal jokes aisee
Hafu unakuja kunletea za kuleta why nizushe msiba wa RAFIKI am I stupid
Asante SanaPole sana kwa kumpoteza rafiki yako kipenzi. Tunamuombea apumzike pema peponi!
I am not arguing with you about anything.About imagination, I ever imagine something about 2years ago then I found out people have been working on it since 80s exactly the way I thought
jamaa likuwa anasema kuwa record yake ya phy na namba haijawai fikiwa, sijui kama ni kweli coz 1.3 zilikuwpo za wamba wengi,
na jamaaa alikuwa anamponda sana mgote.
honest mimi kwangu ndo my best phyics Teacher ingawa alikuwa amezidi sifa
Ndio mwenyewe. Mwenye kofia. Always alikua anapenda vaa kofia.Huyu jamaa mwenye Cap.enzi hiz tosa boys
Ok sawaOk he was talking about relativity the way I heard it. Inawezekana alisoma mimi sikusoma kipengele hiko bado inabaki kua alikua mkaririji mzuri. I know our education system ni kuzalisha watu wenye uwezo wa kukariri maswali, formulas na definition
Wapo wanaosema alikuwaga na Gaka before mtihani, Hapo still alikua anajiwezaNdio ni vigumu kufikiwa
Jamaa alipata 98%
Ya physics
97% chem
99% math
98% Gs
Sa kuna TO anaweza kufikia hapo
Lakini kukariri physics au mathematics sio rahisi weweOk he was talking about relativity the way I heard it. Inawezekana alisoma mimi sikusoma kipengele hiko bado inabaki kua alikua mkaririji mzuri. I know our education system ni kuzalisha watu wenye uwezo wa kukariri maswali, formulas na definition
MuongoMay his soul rest in eternal peace.
Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
Sasa Elias alikua anakupa alternative tatu ya swali moja utasemaje huyo mtu anakariri, Mimi tu physics nilikua sikariri and that made us different.Lakini kukariri physics au mathematics sio rahisi wewe
Inawezekana huyajui hayo masomo aisee
Huyo atakuwa alikuwa na uwszo wake tu mkubwa kiakili
Usifikiri kilakitu NI Cha kukariri
Eti ukariri physics,Wakati nafika advance tanga tech story za huyu mtu nilizikuta,,,kuna darasa moja kati ya madarasa ya advance kuna maneno yameandikwa nanukuu"elias mtu na nusu" nazani wahusika waliandika katika kuonesha kumkubali jamaa ,story zinasema zaidi vile vitabu ambavyo wanafunzi wengi hivikwepa yeye ndo alipenda kuvitumia mfano nelkon,roger,UP(university physics) kwa upande wa physics,,waliosoma physics advanced level watakuwa wanaelewa zaidi hapa,,ndo mana mtu anaesema jamaa alikuwa anakariri namshangaaaa unakariri physics utakariri vingapi????nazani alikuwa na gifted(wakati mwingine kumkubali mtu hakukupunguzii kitu sio kila ktu ni kupinga) kwa niaba ya watoto wa tanga tech ,,niseme REST IN PEACE MTU NA NUSU,,tusisahau kuwa karibu na muumba wetu pamoja na vyote tunavofanya,duniani mapito,,ulale mahali unapostahili,AMEN