TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Hii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.

Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.

His folkore chievements are strenuosly disputed.
Sawa boss
Naona umekomaa kwelikweli na vitabu vya jamaa
Lakini ukweli ni kwamba vinawasaidia wengi.
 
Genious ni yule mwenye consistency ya matokeo.

Kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu.

Huko nyuma ufeli halafu uje kupata A a'level tuseme wewe ni genious?

Mbaya zaidi una-disco chuo mara mbili? Huo ugenious upo wapi?

Magenious ni kina Chegere. Wanaongoza toka wanazaliwa mpaka phd. Hao wengine ni one season wonder kama leicester city.
 
Hii kwa usalama zaidi, tuseme ni mtazamo wako, hapo sawa.

NB: "genius" not "genious"
 
Hii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.

Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.

His folkore chievements are strenuosly disputed.
Saint Anne anakwambia jamaa ni genious kisa ameandika kitabu cha physics.

Mgote na Muddy nao wanaweza kuandika vitabu kwa ku-combine handouts zao zote.

Being genious is all about consistency. Huwezi pata o'level div 1 ya mwisho halafu upate A a'level tukuite genious.

Hapo utakuwa umebahatisha, na mbaya zaidi unaenda ku-disco chuo.
 
Kigezo cha mtu fulani kuwa genius siyo "consistency," bali ni "exceptional skill" ama "rare natural ability" ama "very great creative power" katika eneo fulani.
 
Amekwenda Marekani hajarudi, sisi tufanyeje, tuwanyime passport ma Tanzania One ??? How is that our fault that they never came back????

Wabadilishe system wao wenyewe! Wamalize degree zao, wakawe ma provost, na ma dissertationist, watengeneze research environment and curricular systems ambamo watastawi.

Unatuambiaje sisi, the garden variety students, tuwatengenezee wao research systems and curricular modalities ambazo ma Tanzania One watazipenda, how the hell do I know what interest is in his big dorky head ???

Amekwenda Marekani hajarudi, good riddance! He didn't wanna help his country to begin with.

Wapo waliobaki nchini. Among the transcendent giants of my generation, Charles Kichere at Tambaza, currently the CAG of the country, now that is undisputably a tremendous brain put to good use. And many thousand other gifted students across the history of Tanzanian academia who finished their degrees and stayed here or came back to benefit the country.

Tunapotezaje usingizi na ma Tanzania One wamekimbia nchi eti hatujawatengenezea mazingira ya tafiti, mara oooh hali ya maisha inawafanya wahangaikie matumbo kwenye ma tuition ya Mchikichini kama Muddy Physics. Of course wote tuna njaa, you are born in the third world, nani ana uchumi mlaini laini hapa? Wabaki Marekani, screw them!
 
Angefanyaje na anadiscoshwa kila mwaka
 
Comment hii umenifuraisha [emoji23][emoji23]
 
Angefanyaje na anadiscoshwa kila mwaka
ukiwa na akili utaenda kuangalia products za ELIAS KIHOMBO, ENGINEEERS ,DOCTORS, MA T.O wengi tu wamepita kwenye mikono yake amabo wamenyoosha GPA za kibabe chuo hao wote hakuna asiye kiri MWANA uwezo wake bali
ingelikuwa kuna alimrecord jamaa, na wengi waliomfahamu mwamba hawaachi kukiri hilo, Tubakie tu na tabia ya kibongo kuendesha ligi tuzizozijua ili hali unajua kabisa uwezi kuwa kama jamaa na hutokaa uwe.
ISBN si tatizo , unaweza ukawa na ISBN alafu kitabu chako kikawa cha kawaida mimi naamini hakuna kitabu cha physics au chemistry kwa upande wa advance levels ambachokina ISBN kwanzia chandy, Rogers, u.p, ngaiza series, cheneye impacts kubwa kwa wanafunzi
vitabu vya ally abdallah., vya mwamba n.k namimi sijawai kitumia chochote chenye ISBN mara ya mwisho ilikuwa O.LEVEL
but itoshe kusema jamaa alikuwa anajua madude na impacts yake imeonekana, MUNGU AMBARIKI amlaze mahari pema peponi
 
Kwahiyo jamaaa si kichwa Kama tulivyoambiwa au siyo??
 
Hivi mkuu mtu amepata wastani wa 98 unasema amebahatisha??
Hivi kwa ufaulu wake ni wa kusema amebahatisha??
Hivi unaweza bahatisha 99 ya physics?
Kwahiyo unataka kusema walikosea kumpa u T.O?

Kama ambavyo ma T.O wengine tu wanavyofanya vitu vingine,naye aliamua aandike vitabu...kwani lazima kila mtu afanye kile unachotaka wewe??
Kuandika kitabu unaona si muhimu??
Kuna viliowasaidia wengi Sana.

Unajua alidisco chuo kwa sababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…