Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuna taarifa zinasema jamaa hajafariki kuna ukweli wowote
Naona uzi unabadilika Tena[emoji1787]Hata mimi nimesikia hivyo kuwa hajafariki
Aisee tutashuhudia mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa zinasema jamaa hajafariki kuna ukweli wowote
Naona uzi unabadilika Tena[emoji1787]Hata mimi nimesikia hivyo kuwa hajafariki
Sawa bossHii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.
Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.
His folkore chievements are strenuosly disputed.
Kuna taarifa zinasema jamaa hajafariki kuna ukweli wowote
Nimesoma Seminary.Ulisoma shule gani ,olevel na Advance
Umemjibu nini[emoji28][emoji28] nimecheka Hadi waifu anaulza kulikon huko jamii forum
baada ya hapo?Nimesoma Seminary.
Genious ni yule mwenye consistency ya matokeo.Naye passion yake ilikuwa huko PCM na Ndiyo maana akaenda huko ..
Kwahiyo average ya 98%advance we unaiona ndogo??ulitaka apate ngapi labda???
Kwahiyo unataka kusema wanaosoma arts ni magenius kuliko wanaoenda combinations za sayansi??
Unaanza Sasa kuchekesha[emoji1787]
Ndiyo maana huko wamejazana kila mtu anasoma arts..
Kama wangeona sayansi rahisi basi wangeenda kusoma wapate kama jamaa..
Bado atabaki kuwa genius tu bro hata kama hutaki..
Kuwa genius si lazima apublish hizo papers Kama unavyosema wewe hapo juu..yeye aliamua kufundisha kwa sababu ndicho kipawa alichojaliwa na Mungu ..wewe Kama unaona kupublish papers ni muhimu kuliko kufundisha basi kafanye wewe.
Hongera Sana ulipasua ila Nikajua ulikuwa T.O !
Kumbe Wala hukuwa T.O
Mu acknowledge tu! hutapungukiwa kitu.
Tuliza mshono. Wewe unajua nini?wewe ni kilaza, huna unachojua
Hii kwa usalama zaidi, tuseme ni mtazamo wako, hapo sawa.Genious ni yule mwenye consistency ya matokeo.
Kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu.
Huko nyuma ufeli halafu uje kupata A a'level tuseme wewe ni genious?
Mbaya zaidi una-disco chuo mara mbili? Huo ugenious upo wapi?
Magenious ni kina Chegere. Wanaongoza toka wanazaliwa mpaka phd. Hao wengine ni one season wonder kama leicester city.
Saint Anne anakwambia jamaa ni genious kisa ameandika kitabu cha physics.Hii mada hainijadili mimi. I have never been mistaken for a Tanzania One. Let's put me aside.
Vitabu vya Kihombo kama havina ISBN basi ni vipeperushi vya notes zake.
His folkore chievements are strenuosly disputed.
O'level 2006Daaah!! Hongera sana mkuu, miaka ipi ulimaliza shule?
B.A UDSM.Kwanibaada ya hapo?
Kigezo cha mtu fulani kuwa genius siyo "consistency," bali ni "exceptional skill" ama "rare natural ability" ama "very great creative power" katika eneo fulani.Saint Anne anakwambia jamaa ni genious kisa ameandika kitabu cha physics.
Mgote na Muddy nao wanaweza kuandika vitabu kwa ku-combine handouts zao zote.
Being genious is all about consistency. Huwezi pata o'level div 1 ya mwisho halafu upate A a'level tukuite genious.
Hapo utakuwa umebahatisha, na mbaya zaidi unaenda ku-disco chuo.
Amekwenda Marekani hajarudi, sisi tufanyeje, tuwanyime passport ma Tanzania One ??? How is that our fault that they never came back????Kuna jamaa alikuwa TO 2001 O-level akapata ufadhili kwenda Marekani mpk sasa wamarekani wanaye... Hatuna systems za kuwaweka watu kama hawa mahala pa kuwawezesha kufanya tafiti za kisayansi, na hali pia za maisha yake binafsi na wanaomzunguka pia hufanya mtu awaze mambo rahisi ya kumpatia pesa ndani ya muda mfupi kama hivyo kuishia kufundisha tuition
[emoji38][emoji38][emoji38]walimwenguDoctor ubwabwa
Angefanyaje na anadiscoshwa kila mwakahebu tuanzie hapa , kwanini unamkataa jamaa kwa mtazamo wako je , haiwezekani
mshikaji alikuwa na imagination za mbali mno, was real genius, he was passions, vision but he try to pust and hit the target, kama ukipata kusikiliza vision zake kuhusu space relativity , black holes, na
mechanisics especial kweny rotation dynamics Dah.........
u genius wake unakuja hapa amekuwa alama ya physics kwa phyisician wa tz, amesababisha ndoto njingi za watu zikawa real.....
jamaa aliku anamkubali sana Eistein na yeye alikuwa anatamani kuwa like him.....naaamini angepewa miaka 40 zaidi angefanya kitu
Comment hii umenifuraisha [emoji23][emoji23]Amekwenda Marekani hajarudi, tufanyeje, tuwanyime passport ??? How is that our fault they never came back????
Amekwenda Marekani hajarudi, sisi tufanyeje, tuwanyime passport ??? How is that our fault they never came back????
Wabadilishe system wao! Wamalize degree zao, wakawe ma provost, na ma dissertationist, watengeneze curricular systems ambazo kwazo watastawi.
Unatuambiaje sisi, the garden variety students, tuwatengenezee wao hizo research systems and curricular modalities ambazo magenius watazipenda, how the hell do I know what interest is in his big dorky head ???
Amekwenda Marekani hajarudi good riddance! He didn't wanna help his country to begin with.
Wapo waliobaki nchini. Among the transcendent giants of my generation, Charles Kichere at Tambaza, now the CAG of the country, now that is undisputably a tremendous brain put to good use. And many hundred others across the history of Tanzanian academia who finished their degrees and stayed here or came back to benefit the country.
Tunapotezaje usingizi na ma genius wamekimbia nchi eti hatujawatengenezea mazingira ya tafiti, sijui mara uchumi unawafanya wahangaikie matumbo kwenye ma tuition ya Mchikichini kama Muddy Physics. But off course, you are born in the third world, nani ana uchumi mlaini laini hapa? Wabaki Marekani, screw them!
ukiwa na akili utaenda kuangalia products za ELIAS KIHOMBO, ENGINEEERS ,DOCTORS, MA T.O wengi tu wamepita kwenye mikono yake amabo wamenyoosha GPA za kibabe chuo hao wote hakuna asiye kiri MWANA uwezo wake baliAngefanyaje na anadiscoshwa kila mwaka
Kwahiyo jamaaa si kichwa Kama tulivyoambiwa au siyo??Genious ni yule mwenye consistency ya matokeo.
Kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu.
Huko nyuma ufeli halafu uje kupata A a'level tuseme wewe ni genious?
Mbaya zaidi una-disco chuo mara mbili? Huo ugenious upo wapi?
Magenious ni kina Chegere. Wanaongoza toka wanazaliwa mpaka phd. Hao wengine ni one season wonder kama leicester city.
Hivi mkuu mtu amepata wastani wa 98 unasema amebahatisha??Saint Anne anakwambia jamaa ni genious kisa ameandika kitabu cha physics.
Mgote na Muddy nao wanaweza kuandika vitabu kwa ku-combine handouts zao zote.
Being genious is all about consistency. Huwezi pata o'level div 1 ya mwisho halafu upate A a'level tukuite genious.
Hapo utakuwa umebahatisha, na mbaya zaidi unaenda ku-disco chuo.