TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaaa ni mbishi sana aisee
Lol!nimekunyooshea mikono.


Kwahiyo bro kihombo ni genius au si genius?
 
Kihombo sio genius Bro.

Let us end this shit now

Sio genius Bro kama unavosema

But he tried to help some people

Labda Kama una ugomvi personal na kihombo uendelee na haya Mambo

Kihombo sio genius

Let him rest in peace then man


I hope you have lots of things to do man

Respect [emoji2936][emoji817]
 
Yaani anampinga kwa hali na Mali..
Asee sijawahi kuona watu wabishi namna hii ,mtu katangazwa T.O wanampinga na wengine wanasema amebahatisha!
Chaa!!unaweza bahatisha 99,98,97,98 ??
Jamani watanzania nimewanyooshea mikono juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji119]
 
Kuna ndugu wa karibu wa marehemu wamentafta pm

I think they're feeling bad about how their relative anaongelewa

Anayeamini kihombo ni genius fine , asiyeamini fine also

Tumwache apumzike kwa amani

Rest in peace Elias , I don't believe you are gone. SAD !
 
Mchango wake utauona wanao au ndugu zako wakija Soma physics.

Ameacha kitu kinaishi.
 
Kwani lazima agundue kitu?
Kwanini wasingundue wao hivyo vitu..
Kwanini wampangie Cha kufanya!?!
 
Mkuu kupingwa ni kawaida sana.
Yesu mwenyewe pamoja na mazuri yote aliyofanya bado alipingwa na mpaka sasa anapingwa na baadhi ya watu,sembuse Kihombo??itakuwa Kihombo??!?
Watu ndivyo walivyo..hata ungefanya mazuri yapi!!bado watakupinga tu!

Hao ndugu wasijisikie vibaya,hivi ni vitu vya kawaida Sana.
 
Misifa kibao. Who is he? Yesu wa pili ama?

Mchango wake kwa Taifa ni upi? something tangible? Kupata "A" ya hisabati?

Natambua juhudi zake za kitaaluma lakini sio kwa kiwango cha mijisifa hii uliyommwagia!

Okay, apumzike kwa amani.

Jina lake nani vile umesema? Kihombo?
 
Hawa Tanzania One sijawahi ona mchango wao kwa taifa hili....
ni sifa za Kijinga ambazo katika ulimwengu wa sasa ni useless. Dunia ya Sasa inataka Innovators sio As za kwenye vyeti.

Hiyo sifa ya kijinga inasababishwa na baraza la mitihani. Unatangazaje huyu ni Tanzania One wakati:

1/ mitihani sio standardized
2/ waliopata straight As wako wengi kila mwaka
3/ alama za A huwa hazisemi una A ya ngapi
4/ serikali has a horse in the race...

Mkurugenzi wa mitihani anapewa cheo na Magufuli, analipwa mshahara na Magufuli, anapewa gari na Magufuli, atamtangazaje mtoto wa shule zinazoleta upinzani kwa shule za serikali kuwa kawashinda?

The concept of Tanzania One is an unbriddled fallacy. Mitihani ambayo siyo standardized, huwezi kusema A ya huyu ni kali kuliko ya yule, wanatudanganya.

Elias Kihombo, Martin Njegere, Muddy Physics na wengine wote waliofanya vizuri sekondari na kusikika sana enzi hizi za TEHAMA hongera sana. But beyond that, tighten up!

Mnashindwa hata na Muhammed Said, Mwanazuoni wa jamvi aliyeandika vitabu vya babu zake wa Kongo na Mkunguni waliotafuta uhuru peke yao halafu wakapigwa chini cabinet zote za Mwalimu. Off the meat rack, but the man got his books some ISBNs.
 
Huyo dogo hajui maana ya kusoma, amekalia kutumia neno "Kukariri" kama ndiyi msingi wa hoja wake. Ukiwa mjuaji sana ujue ndiyo unazidi kuwa mjinga.
Kama kihombo alivyofeli kwa kujua kwingi
 
Halafu uki-mention watu magenious Tz, usimweke Martin chegere kwenye list.huyu unatakiwa umwandike peke yake.
 
The mentality you have is just like the rest of Tanzanians thats y we are and forever we ll be poor.. Unajua nn nchi zilizoendelea zinafanya kwa wale wachache walio gifted na high IQ!! hii ni 1% tu ya population yote. Hawa ndio engine za kuja na solutions na gunduzi unazoziona zote zina roots kutoka kwa watu wa aina hii. Wewe kajampa nani unachekelea kubofya smartphone hujawai kufikiria science behind it ama unafikiria an average person can do miracles. Jaribu kujielimisha utoe tongotongo....
 
@Saint Anne angalia hao ni wanafunzi waliongoza mitihani ya acca duniani.Acca wameona aibu kusema wamepata 100%.
ACCA tunaiheshimu ila watoto wa oxford na Cambridge wanapiga 99,98,97.
Tukubali tu kuna watu wako gifted jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…