TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Dah jamaa kafariki.

Nilikua form three, matokeo yalipotangazwa. mkuu wa shule Charwe akatangaza tule wali hata kama haikua siku ya wali.

RIP bro
✓[emoji769]Ubwabwa wa Hashim Rungwe
 
Ma-TO wako wangapi? Tukijumlisha wa level zote
Na utaratibu wa TO umeanza mwaka gani?
Maana sasa hizi sifa mpaka naanza kuwaza

Ukisema kuna Ma TO wengi mavyuoni, viwandani na mahospitali

Ukisema kuna Ma TO wengi wamepitia mikononi kwake naanza kujiuliza Tanzania ina Ma TO wangapi?
 
Yaani jamii yetu huwa siilewi hapa mtu kaacha mtegemezi mnasema afadhali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sihitaji kujua sababu ya kudisco.
 
Sawa...

Basi akili nyingi unazo wewe.....😁😁

Kwani kukariri sio package ya AKILI NYINGI....?!!!

Hao magenius wote ambao tunawasoma ima katika SCIENCE ama PHILOSOPHY wote walikuwa na UWEZO MKUU wa kukariri...

Hata mitume wanaoaminika na wanadini...wote walikuwa na uwezo mkubwa wa KUKARIRI....kwa maneno yako akina prophet Moses hawakuwa ni MAGENIUS.....

Tatizo lako unapenda "ligi" na kumdharau kila mwenye hoja tofauti usizozipenda.....

Nina hakika hujawahi kusoma kitabu kiitwacho UP...

Ungekuwa unaujua uwezo adimu aliopewa marehemu Elias wala usingebwata hapa....

Leo hii dunia nzima inaamini ya kwamba watu wanaosoma fani hizi mbili,wana uwezo wa kipekee kuliko WENGINE....
1.Medicine
2.Law

Hujiulizi kwanini wanaamini hivyo?!!!

Jibu...

Ni"ARTS" inazohitaji uwezo mkubwa wa IMAGINATION na "kukariri" UNAKOKUBEZA....

Kalaghabaho!!
 
😲😲😲
 
Hisia zangu ni kuwa.
Jamaa alifeli chuo kwa sababu hakuhudhuria au hakuvisoma vitu,akakuta mitihani vitu havijui.

Course nyingi za chuo hata vitu vikiwa simple ,usiposoma lazima upoteane.

Izingatiwe kuwa huyu Elias alikuwa anasoma sana A level,msuli mnene ndio akafaulu sana.

Chuo hakusoma vizuri,mambo yakae
Kina Saint Anne hao.

Kabla ya Kihombo kuna watu walikuwa wanapata A za physics na waliplay low.
1)Huyo jamaa alipiga msuli mnene A level. Aliinvest kwenye time. Ikamlipa

2)Huyo jamaa chuo haku invest kwenye time,akienda kwenye mitihani,maruwe ruwe. Telecommunications
3) Alivyorudi tena. Hakuinvest kwenye time. Maruwe ruwe . Petroleum

Kufelishwa Na maprof ni vijisababu.

Hata Ukiwa Genius(yawezekana Na yeye ni Genius) usiposoma ,chuo kipigo nje nje.

Angekuwa anafundisha O level alipokuwa A level,asingepata hiyo 1:3PCM ,wanafunzi wa O level wangesema Ticha wetu ameonewa Na BAMAGA.
 
Basi kila mtu atajifanya yuko better than him,shukeni na nyie mafizkisi tuwaone,watu mna wivu hata kwa umaarufu mdogo alio kuwa nao..mweeehhhh...jiulize mimi au wewe ukifa utafikisha page ngapi humu watakaosema wanakujua..?? 🤣 🤣 🤣 🤣 ameacha alama duniani,sio jamii ikufanyie nini wewe,jiulize utaifanyia nini jamii..?? kaka Elias,vita umevipigana mwendo umeumaliza..ulale pema
 
Sema mchizi anaoneka alikuwa anawagonga sana watoto wa kike na umeme ndio unaonekana usoni ndio ulio mmwaga chini. Masikini sijui alikuwa Hali dawa za wazungu ambazo alikuwa anawaona kama hawana akili
😲😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…