TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Maana yake uliamua kuwa mshabiki wa Kemia.

Unakubali ya kuwa unaweza kuukataa ukweli aidha kwa kujua au kutokujua. Hili tuliache kadhalika.
Ndio chemistry somo ninalolipenda Sana kuliko masomo yote
 
Mimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.

Mathalani asilimia zaidi ya 90% ya Quantum Mechanics ni Uongo, ukienda kwenye Sayansi ya anga hasa Astronomy zaidi ya asilimia 100 ni Uongo.
Hahaaa hata Mimi najua hzo Mambo za anga ni uongo na imagination tu za watu. Na pia vitu vingi tumeaminishwa ni uongo tu
 
The blessed one,kwa wasiosoma science advance watabeza Ila ukweli n kwamba. Physics kupata A-99/% huwezi sema umekariri.

NA ISITOSHE, ALIKUWA ANAUWEZO WA KUSAHIHISHA SOLUTIONS ZENYE MAKOSA KWENY REVIEW NYINGI. Kwa uwezo wake inathibitisha jamaaa alikuwa FUTURIST MKUBWA na asset htr imepotea.

He was a living genius.

#R.I .P GENIUS KIHOMBO#
#Rip Genius E.Kihombo
 
Hata mimi nilisoma science ,ko nami naiona rahisi sana lakini si rahisi kama unavyosema kwamba ukikariri formula unaitumia formula tu unafahuru,
Science ina concept nzito na ngumu, unaweza soma Roger moncaster au Nelkon na kukariri formula , hafu ukaenda kusolve maswali ya Chand ukaambulia sifuri.
Ambapo ni tofauti na vitabu vyenu vya arts ,ambapo unaweza soma vitabu mia lakini concept ni ile ile.
Umeshaambiwa sayansi inahitaji kusoma vitabu vichache tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimecheka sana Leo.
 
A ya history A-level hana mkuu,Nina uhakika na hili nalo liandika
Ndio maana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichokijua?
Anapobishana eti geography ni sawa na physics! Huku hata hajawahi ku drive equation ya error and dimentions just simplest, hajui hata vitabu vya physics vipoje

Pia kuanza kumkandia jamaa ilhali hamjui, hajawai kumuona ili tu aonekane anajua kubisha sana, hata kama amesoma history,Ila huyu sizani hata iyo Masters anayo kweli , Maana MTu wa levels , hiyo yuko very systematic hawezi kubishania kitu asichokijua
 
mimi ninachojua wewe ni kilaza , unayesema eti kwa sababu alipata HISTORY C, basi ts normal person!?
Sijui et history and geogragphy ni sawa na physics
et bcoz alidscontinue chuo basi ts normal guys, - WEWE NI BONGE LA KILAZA.
kwasabbu kitabu chake akina ISBN niwakawaida, unitajie kitabu kipi chenye iyo nembo kwa upande wa sayansi.
unahisi A ya history na geography ulipata pekeyako, Kwataarifa yako mimi adavance nimesoma na karibu darasa siza wamepata hayo masomo yako A, asilimia 90% wapo engineering na medicine, pamoja na hapo wapo walioscore single digit from O level to advance, ila hadi leo watakwambia kihombo ni Mwisho.
so wewe kupata A yako ya history na Geography usitake kumwa undermined mwamba ashindwe kupumzika kwa amani mwamba wetyu, - utabakia kuwa kilaza tu.

mwisho ni bora ukanyamaza kwa usilo lijua, MTU humjui , hujawai kumuona bado unabisha , waliomuona wanasema jamaaa uwezo wake ulikuw wajuu mno. bila kupingwa asilimia 90 ya watu wenye uwezo wa juu ndo wansoma sayansi na wana mu appreciate mwamba, hakuna aliyesoma sayansi anayebeza uwezo wa kihombo
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Swalehe uzi wako utaniua kwa kicheko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
He was telling me that he had a vision ya kuanzsha spi Schools

Kids wawe wanafundshwa science subjects since young

Kuna kampuni moja pia ya kuchapisha vitabu ipo Us he was asking about it a lot achapishe vitabu vyake huko meaning vitabu vyake viwe recognized world wide anyway naomba uzima tu ntajarbu kufanya hiyo kazi

Kaacha mtoto mmoja
😍😍
 
Aliona mbali ambako wengi hawaoni,Mungu akutangulie Mkuu utimize alichokikusudia kwa dunia,he is still a living legacy kwa aliyoyafanya,SPI brought me where iam today,and he was a real blessing,

Tunamshukru Mungu kwa maisha ya Eng Kihombo

RIP Genius
👍👍
 
Safi Sana

Kitu kikubwa ambacho watu hawajui about kihombo is that his father alkua Prof pale mzumbe uni

Jamaa sio kwamba alkua na njaa kiasi hcho , what I am trying to say hata vitabu mostly alikua anaandika for the passion ya kusaidia watu

His long life dream

Anyway mwanangu ameondoka nmeumia Sana aisee ....

Nmewaza Sana aisee ... Ngoja nipumzike Sasa
Dr. Pole sana mkuu wangu...

Pole mno kaka....

Rip Genius E.Kihombo
 
Chief watu wamefiwa wewe unaleta umwamba wa kitoto.

Sisi Waswahili huwa tunasema hivi "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".

Kuvumbua jambo au kugundua jambo si ishara ya mtu kuwa na akili, maana haya mambo watu hutunukiwa tu vipawa, ndiyo maana hukuti mtu anajua kila kitu.

Kama kukariri ni kazi ndogo ungekuwa wewe T. O.

Nahitimisha kwa kusema ya kuwa, kuwa mgunduzi au kuwa T. O si kipimo cha mtu kuwa na akili sana, sababu viwili hivyo havihusiani na akili.

Pili, ulipo sema ya kuwa Tanzania kuna watu wawili tu wenye akili, niliona ya kuwa hujui maana ya neno AKILI.

Hakika hali wa shani, kila nafsi itaonja umauti.
👍👍
 
Out of topic !! Wanaosema tunakariri wako sawa kabisa , wenzetu huko ulaya Kila Siku wanafanya innovations mpya kwa kutumia principle walizozielewa kwenye masomo mtu Kama huyu TO, alitakiwa awe kwenye makampuni makubwa ya uvumbuzi akiapply elimu yake , elon musk wa tesla car Wala hakuwa na passmarks kubwa darasani lakini angalia mambo yake .
Kuongea ni rahisi...

Uchumi wao na wetu ni sawa?!!!

Hata huyo Elon Musk kazaliwa SA...mbona mafanikio makubwa kayapatia MAREKANI na isiwe kule "bondeni"?!!!

Marehemu Elias Kihombo alifanya makubwa kwa level ya vijana wa kitanzania...

1.KuINSPIRE wenzake kupenda kusoma kwa kuwafundisha "mapindi".

2.Kuweza kudahiliwa kusoma PETROLEUM ENGINEERING ambayo ni mtambuka mno kipindi hiki cha awamu ya uchumi wa VIWANDA.

3.Malengo yake ya KUANZISHA shule zitakazofundisha mitaala ya sayansi toka UTOTO(hii ingekuwani hatua kubwa mno nchini kwetu).

4.Kushirikiana na wadau wa ELIMU huko US kumfadhili katika miradi yake ya uandishi wa vitabu na hizo shule...hapa nitoe RAI kwa Dr.Baba Swalehe kuwa kwa ukaribu wake na marehemu na elimu yake "kuntu" basi ASIMAMIE ndoto hii ya genius wetu marehemu Kayombo ili iwe LEGACY kubwa.

Mwisho nikumbushe tu ya kwamba katika kipindi hiki ambacho nchi imepata kiongozi bora mwenye maono ya kujitegemea na kutumia vyema vipawa vyetu kwa haya mambo ya uchumi wa VIWANDA,basi E.Kihombo angekwenda kufanya mengi makubwa irrespective ya somehow kukosa "motivation" kulikomuandama Kama alivyosema Mtunduizi Dr.Baba Swalehe.

Rip Genius E.Kihombo,amen!!
 
Uzi upo kwenye page ya 42 lakini hakuna aliyesema Merehemu alikuwa anasumbuliwa na nini...

Kuna mdau mwanzoni alitoa hint(Tetesi) kwamba alisikia kama Jamaa "Alikuwa Kaungua na Umeme".
 
Back
Top Bottom