Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuna comments zako kule juu zimenichekesha, nimecheka kwa watu Kama chizi.Naam, au kuna sehemu nimekosea nini bibie ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna comments zako kule juu zimenichekesha, nimecheka kwa watu Kama chizi.Naam, au kuna sehemu nimekosea nini bibie ?
Ndio chemistry somo ninalolipenda Sana kuliko masomo yoteMaana yake uliamua kuwa mshabiki wa Kemia.
Unakubali ya kuwa unaweza kuukataa ukweli aidha kwa kujua au kutokujua. Hili tuliache kadhalika.
Hahaaa hata Mimi najua hzo Mambo za anga ni uongo na imagination tu za watu. Na pia vitu vingi tumeaminishwa ni uongo tuMimi naijua sayansi ipi ya kweli na sayansi ipi ya Uongo, yaani nina njia zangu huwa nazitumia. Ukipata muda wa faragha tu ukawa unahoji na ukalinganisha na uhalisia unajua tu ya kuwa hiki chai na hiki ni kweli.
Mathalani asilimia zaidi ya 90% ya Quantum Mechanics ni Uongo, ukienda kwenye Sayansi ya anga hasa Astronomy zaidi ya asilimia 100 ni Uongo.
#Rip Genius E.KihomboThe blessed one,kwa wasiosoma science advance watabeza Ila ukweli n kwamba. Physics kupata A-99/% huwezi sema umekariri.
NA ISITOSHE, ALIKUWA ANAUWEZO WA KUSAHIHISHA SOLUTIONS ZENYE MAKOSA KWENY REVIEW NYINGI. Kwa uwezo wake inathibitisha jamaaa alikuwa FUTURIST MKUBWA na asset htr imepotea.
He was a living genius.
#R.I .P GENIUS KIHOMBO#
Umeshaambiwa sayansi inahitaji kusoma vitabu vichache tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi nilisoma science ,ko nami naiona rahisi sana lakini si rahisi kama unavyosema kwamba ukikariri formula unaitumia formula tu unafahuru,
Science ina concept nzito na ngumu, unaweza soma Roger moncaster au Nelkon na kukariri formula , hafu ukaenda kusolve maswali ya Chand ukaambulia sifuri.
Ambapo ni tofauti na vitabu vyenu vya arts ,ambapo unaweza soma vitabu mia lakini concept ni ile ile.
Ndio maana nikasema huyu jamaa ni kilaza, kwanza kubishana na kitu usichokijua?A ya history A-level hana mkuu,Nina uhakika na hili nalo liandika
🤣🤣Huwa simjibu huyo kurlzawa
Mtu mmoja mpumbavu since nmetambua Hilo sjawahi mjibu anabakigi kujiongelesha tu
Sometimes ndo way ya ku deal na wapumbavu usimpe attention he is craving for
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi ninachojua wewe ni kilaza , unayesema eti kwa sababu alipata HISTORY C, basi ts normal person!?
Sijui et history and geogragphy ni sawa na physics
et bcoz alidscontinue chuo basi ts normal guys, - WEWE NI BONGE LA KILAZA.
kwasabbu kitabu chake akina ISBN niwakawaida, unitajie kitabu kipi chenye iyo nembo kwa upande wa sayansi.
unahisi A ya history na geography ulipata pekeyako, Kwataarifa yako mimi adavance nimesoma na karibu darasa siza wamepata hayo masomo yako A, asilimia 90% wapo engineering na medicine, pamoja na hapo wapo walioscore single digit from O level to advance, ila hadi leo watakwambia kihombo ni Mwisho.
so wewe kupata A yako ya history na Geography usitake kumwa undermined mwamba ashindwe kupumzika kwa amani mwamba wetyu, - utabakia kuwa kilaza tu.
mwisho ni bora ukanyamaza kwa usilo lijua, MTU humjui , hujawai kumuona bado unabisha , waliomuona wanasema jamaaa uwezo wake ulikuw wajuu mno. bila kupingwa asilimia 90 ya watu wenye uwezo wa juu ndo wansoma sayansi na wana mu appreciate mwamba, hakuna aliyesoma sayansi anayebeza uwezo wa kihombo
😍😍He was telling me that he had a vision ya kuanzsha spi Schools
Kids wawe wanafundshwa science subjects since young
Kuna kampuni moja pia ya kuchapisha vitabu ipo Us he was asking about it a lot achapishe vitabu vyake huko meaning vitabu vyake viwe recognized world wide anyway naomba uzima tu ntajarbu kufanya hiyo kazi
Kaacha mtoto mmoja
👍👍Aliona mbali ambako wengi hawaoni,Mungu akutangulie Mkuu utimize alichokikusudia kwa dunia,he is still a living legacy kwa aliyoyafanya,SPI brought me where iam today,and he was a real blessing,
Tunamshukru Mungu kwa maisha ya Eng Kihombo
RIP Genius
Dr. Pole sana mkuu wangu...Safi Sana
Kitu kikubwa ambacho watu hawajui about kihombo is that his father alkua Prof pale mzumbe uni
Jamaa sio kwamba alkua na njaa kiasi hcho , what I am trying to say hata vitabu mostly alikua anaandika for the passion ya kusaidia watu
His long life dream
Anyway mwanangu ameondoka nmeumia Sana aisee ....
Nmewaza Sana aisee ... Ngoja nipumzike Sasa
👍👍Chief watu wamefiwa wewe unaleta umwamba wa kitoto.
Sisi Waswahili huwa tunasema hivi "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".
Kuvumbua jambo au kugundua jambo si ishara ya mtu kuwa na akili, maana haya mambo watu hutunukiwa tu vipawa, ndiyo maana hukuti mtu anajua kila kitu.
Kama kukariri ni kazi ndogo ungekuwa wewe T. O.
Nahitimisha kwa kusema ya kuwa, kuwa mgunduzi au kuwa T. O si kipimo cha mtu kuwa na akili sana, sababu viwili hivyo havihusiani na akili.
Pili, ulipo sema ya kuwa Tanzania kuna watu wawili tu wenye akili, niliona ya kuwa hujui maana ya neno AKILI.
Hakika hali wa shani, kila nafsi itaonja umauti.
Basi tuendelee kuomboleza.Hahaaa hata Mimi najua hzo Mambo za anga ni uongo na imagination tu za watu. Na pia vitu vingi tumeaminishwa ni uongo tu
Sawa.Kuna comments zako kule juu zimenichekesha,nimecheka kwa watu Kama chizi.
Halafu ukiwa free nicheckSawa.
Kuongea ni rahisi...Out of topic !! Wanaosema tunakariri wako sawa kabisa , wenzetu huko ulaya Kila Siku wanafanya innovations mpya kwa kutumia principle walizozielewa kwenye masomo mtu Kama huyu TO, alitakiwa awe kwenye makampuni makubwa ya uvumbuzi akiapply elimu yake , elon musk wa tesla car Wala hakuwa na passmarks kubwa darasani lakini angalia mambo yake .
Utu uheshimiwe tafadhaliUzi upo kwenye page ya 42 lakini hakuna aliyesema Merehemu alikuwa anasumbuliwa na nini...
Kuna mdau mwanzoni alitoa hint(Tetesi) kwamba alisikia kama Jamaa "Alikuwa Kaungua na Umeme".
[emoji23][emoji23][emoji23] number ya ccm ya nini kijanaBasi tuendelee kuomboleza.
Naomba namba yako ya simu.
Nina shida nayo tu, usiogope.[emoji23][emoji23][emoji23] number ya ccm ya nini kijana