TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Kaulizeni alikofia watakuwa na majibu au nendeni msibani watasema.

Mimi ndio kwanza nimemjua walipoleta taarifa ya kifo chake labda era yake mimi nilikuwa sio mwanafunzi labda ndio sababu!! Kwakuwa taarifa ya mtu maarufu kwenye elimu imeletwa humu atleast wangeweka ugonjwa uliosababisha kifo.

Wakati nasoma tulifundishwa vitu vinavyosababisha kifo,baadhi ni:-

1.Ugonjwa
2.Ajali
3.Umri
4.Commit Suicide (6 millions ways to die choose one)
 
Tatizo la waafrica Ni ngumu Sana kumkubali mwafrica mwenzao,.anapofanya extraordinary things..
PCM sio lelemama,.Kama huamini rudi shule chagua hiyo kombi..
Watu wanabishia uzoefu tu na kujidai na physics zao za Olevel wanadhani na A level iko hivyohivyo.
Kuna watu waliingia combination ya PCM wakiwa na A zote na wakatoka na zero na hapo walikuwa wanakesha wakisoma

Ila anakuja mtu hapa Anasema "ni kukariri tu"swali linakuja direct..
Wamekomaa kubisha kweli,oh jamaa kabahatisha
Hivi PCM au PCB ni ya kufaulu kwa kubahatisha??
Waende kusoma wapate na wao hiyo average kama wanafikiri kuna kubahatisha kama hujui.
 
Ndio hawajaweka Sasa..
Jaribu kuwatafuta ndugu zake,watakuwa wanajua.
 
Unadhani kwann nmemuweka Tesla kwenye I'd zangu zte naztumia hapa jukwaani

I respect him
Dah ila jmaa alidhurumiwa sana , haki yake ilipotea bure,
ingawa alifanya kazi ya kibabe,etricity and eletronics and mathematics
Aircraft detector before RADAR 1914-1940View attachment 1633371
hahhahaha, harafu kuna Mtu anaheshima , haya maisha haya huku anapanda ndege mstarehe, anatibiwa vizuri, ananunua gari,
haya maisha bhn
 
Watoto achen haya.... Soma science au humanities subjects maisha n case ingne... Let's go back chasing papers[emoji386]. Otherwise n kujshosha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la waafrica Ni ngumu Sana kumkubali mwafrica mwenzao,.anapofanya extraordinary things..
PCM sio lelemama,.Kama huamini rudi shule chagua hiyo kombi..
Elements za kutotaka KUKUBALI uwezo wa mwingine ni matokeo ya;

1.MALEZI MABOVU UTOTONI ambayo yaliambatana na UKOSEFU WA MAPENZI baina ya wanajamii hao.
2.SHIDA NA NJAA
3.UCHAWI HUSUDA na VIJICHO
4.UVIVU WA KUFIKIRI na chuki dhidi ya maendeleo.
5.UDHALILISHAJI ambao unatengeneza hizi PTSD tunazoziona kwa hawa MAHATERS!!
 
Kina GODZILLA banaa🤣🤣🤣

Sure👍👍
 
Dah, umesoma story ya eistein na sir ISAC newtons , ambao ndo legend wa mathematics , physics , astronomy, and science in general,
wote walifeli mitihani , ulishajiuliza why?
uwezo wao ulikuw a zaidi ya watu wanaowafudisha
Hebu nifafanulie hapa

Uwezo ukiwa zaidi ya anayekufundisha ndio inakuwaje
 
Tatizo kibongo bongo tumezoea kuwa na viwango vya chini mno.

Hivyo akitokea mtu akafanya vizuri kidogo tu, anaitwa genius, ilhali wala hana u genius wowote ule.
Na hapo anaiunganisha vinotsi vya topic mbalimbali za physics na kutoa kitabu halafu anaitwa genius.
 
O'level alipata div 1 ya 14. Huko primary hatuna matokeo yake. Chuo aka dico mara mbili.

Inavyoonekana alifaulu kwa kusoma sana na sio genius kama inavyosemekana.

Ndio maana nasimama na msimamo wangu, genius ni consistency ya kile unachofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…