Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Jazba iko wapi hapo?Jazba la nini sasa?
Huyo marehemu ni nduguyo? Una uhusiano naye wa aina yoyote ile? Manake umekomaa na kushupaza shingo kana kwamba wewe ni mdau wa huyo marehemu.
Mimi wala sijasema hakuwa jiniasi. Nimesema tu kwa ujumla kuwa mtu anaweza kuonekana ni jiniasi ilhali si jiniasi. Jambo ambalo ni la kweli. Unaweza kumrejea Bethuel Mbugua wa Kenya.
Hata hivyo, mimi ni kilaza tu. Ni mbeba maboksi. Hizo “75,76,76” ni za kwenu nyie majiniasi [emoji1787].
Calm down.
Sina undugu naye wowote,nimekomaa ndiyo kwani ni tatizo?
Kauli yako ilimaanisha nini sasa!?!