TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Jazba la nini sasa?

Huyo marehemu ni nduguyo? Una uhusiano naye wa aina yoyote ile? Manake umekomaa na kushupaza shingo kana kwamba wewe ni mdau wa huyo marehemu.

Mimi wala sijasema hakuwa jiniasi. Nimesema tu kwa ujumla kuwa mtu anaweza kuonekana ni jiniasi ilhali si jiniasi. Jambo ambalo ni la kweli. Unaweza kumrejea Bethuel Mbugua wa Kenya.

Hata hivyo, mimi ni kilaza tu. Ni mbeba maboksi. Hizo “75,76,76” ni za kwenu nyie majiniasi [emoji1787].

Calm down.
Jazba iko wapi hapo?
Sina undugu naye wowote,nimekomaa ndiyo kwani ni tatizo?

Kauli yako ilimaanisha nini sasa!?!
 
Swali la physics Lipo straight hauko serious jaribu kuangalia toturial za prof Walter Lewin YouTube halafu ndio ujue huko bongo tunafanyaga A'level hizo topics. Halafu physics ipo fact na day to day mambo mengi unayofanya kwenye physics yanakuambia nini sababu . Kama kwa nini ndege mbele imechongoka Bernoulli principle inaelezea. Pia kwa nini tunasemega treni imasumaku inakuvuta ? Sunction effect inaelezea . Physics haikimbiliki kwenye maisha ya kila siku
Ndio naona liko straight na huo ni mtazamo wangu ka ulivo wako
 
Yaani anampinga kwa hali na Mali..
Asee sijawahi kuona watu wabishi namna hii ,mtu katangazwa T.O wanampinga na wengine wanasema amebahatisha!
Chaa!!unaweza bahatisha 99,98,97,98 ??
Jamani watanzania nimewanyooshea mikono juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji119]
Unajua maana ya jamii lkn!
binadamu tulivyoumbwa hatuwezi kukubaliana kila kitu.....
ukishaelewa hichi kitu you will never ever struggle to get into deep argument
simply put mkubaliane kuto kukubaliana
 
Kuna mahali kaandika logic kwenye hyo comments hafu Mimi honestly u genius siupimi kwa mtu kupata Mia masomo yote eti ndio akili na asiyepata Mia sio genious, tena huwa ni rahisi mtu aliyesoma science kupata Mia kuliko waliosoma Art's studies
Yaa sure Mwalimu Nyerere mwenyewe aliondoka chuo na pass class Yani daraja la mwisho but now kwa kupitia matendo yake na mchango wake katika jamii tunamkonsider kama ni genious....
so in a way I buy your view
 
Unajua maana ya jamii lkn!
binadamu tulivyoumbwa hatuwezi kukubaliana kila kitu.....
ukishaelewa hichi kitu you will never ever struggle to get into deep argument
simply put mkubaliane kuto kukubaliana
Huku kuvutana kistaaarabu kuna faida zake:
1. kunaibua & kuinform mambo mengine mengi mazuri tu na ya maana, like a form of brainstorming
2. cheap & accessible form of entertainment
3. kunapima ile dhana ya uhalisia wa kuwa TO ama ujiniasi wa mjenga-hoja; elimu yenyewe hasa huwa iko kuleee (huku!?) field
 
Yaa sure Mwalimu Nyerere mwenyewe aliondoka chuo na pass class Yani daraja la mwisho but now kwa kupitia matendo yake na mchango wake katika jamii tunamkonsider kama ni genious....
so in a way I buy your view
Sure kufaulu mtihani sio kigezo chakuwa genious, pia mtu kufeli mitihani haimaanishi Hana akili, mitihani ni mifumo tu iliyowekwa na wanadamu, pamoja na shule yote hii imechangia ku limit uelewa wa watu. To me genious ni yoyote anayeweza kufanya Jambo kubwa lenye mabadiliko chanya kwa jamii, awe ameenda shule au lah
 
Tatizo kibongo bongo tumezoea kuwa na viwango vya chini mno.

Hivyo akitokea mtu akafanya vizuri kidogo tu, anaitwa genius, ilhali wala hana u genius wowote ule.
Elimu ya Advance ndiyo ngumu zaidi katika levels zote za elimu TZ. Curriculum ina content kubwa inayopaswa kumalizwa ndani ya muda mfupi sana, kihalali mwaka na nusu.

Comb za sayansi ni hatari zaidi hivyo mtu kupata consistently masomo yote above 98% for sure he is exceptional. Which means ubongo wake ameweza kuelewa kile alichokuwa amekisoma kwa ujumla wake by 98% tena katika domain dofauti za physics, chemistry and mathematics.

High IQ inapimwa kwa maswali na uwezo wa kuyasolve maswali husika. Juhudi zake katika kile alichokuwa anakifanya ni za kuheshimiwa.
 
Kuna jamaa yangu mmoja alipata A ya hesabu na masomo mengine yote alipata F.....
bado jamaa wana mconsider ana miakili...
watu waliokimbia hesabu.....
na kuingia gizani kwenye Arts wanakuwa considered ni viazi/vilaza

ni ukweli uisopingika kwamba watu waliomamua kwenda arts(sipendi kuwaita vilaza),ila ni watu wasiokubali kuchagua shida,wakiishi kwa dhana hii ndio hata hawaweki juhudi katika kusoma ndio sababu hata wengi matokeo yao sio ya kushangaza.

mtaani kwangu dogo mmoja amekwenda science,mwingine arts.huyu wa science mpaka amekonda.ingawa wote wamefaulu lakini kuna kitu tunaweza ona.
 
Sure kufaulu mtihani sio kigezo chakuwa genious, pia mtu kufeli mitihani haimaanishi Hana akili, mitihani ni mifumo tu iliyowekwa na wanadamu, pamoja na shule yote hii imechangia ku limit uelewa wa watu. To me genious ni yoyote anayeweza kufanya Jambo kubwa lenye mabadiliko chanya kwa jamii, awe ameenda shule au lah
Ndiyo maana kipimo cha ujiniasi ni "exceptional skills," "rare natural ability," bila kujali tasnia ya mtu husika na hata time factor ("consistency"). That said, the man in question was very special & exceptionally knowledgeable! This doesn’t in any way rule out the obvious fact that any relatively salubrious individual can be so excellent and can even achieve almost anything to which they may choose to focus their undivided attention.
 
ni ukweli uisopingika kwamba watu waliomamua kwenda arts(sipendi kuwaita vilaza),ila ni watu wasiokubali kuchagua shida,wakiishi kwa dhana hii ndio hata hawaweki juhudi katika kusoma ndio sababu hata wengi matokeo yao sio ya kushangaza.

mtaani kwangu dogo mmoja amekwenda science,mwingine arts.huyu wa science mpaka amekonda.ingawa wote wamefaulu lakini kuna kitu tunaweza ona.
Unaweza kuwa sahihi au vinginevyo. Wakati mwingine jamii huwa inaaminishwa kasumba fulani kuwa kitu fulani ni bora kuliko kingine. Mfano, watu wanaamishwa uanasheria, udaktari, uinjinia (uhandisi) ni bora kuliko ualimu, nk.
 
Kuna jamaa yangu mmoja alipata A ya hesabu na masomo mengine yote alipata F.....
bado jamaa wana mconsider ana miakili...
watu waliokimbia hesabu.....
na kuingia gizani kwenye Arts wanakuwa considered ni viazi/vilaza
Ila ni ngumu sana kupata A ya hesabu halafu masomo yote mengine upate F, hata physics na chemistry!!!!!

Mimi mwenyewe nilikuwa Maths solver sana, masomo mengine yalikuwa msuli pepa tu, ila niliyapiga vilivyo

Nb
Mathematics is the roots of all subjects

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Yeah kwa mara ya pili nafikiri baada ya hapo alienda kufundisha shule moja ya private kubwa nmesahau jina lake
Huyu aliangushwa na u genius wake

Hawa wakiwa level ya chini huwa hawasomi wala hawahudhurii vipindi na hakuna anayejali na wanafaulu

Huko chuo marks haziko kwenye mtihani tu, unazikusanya kwenye kazi nyingi kama assignments nk ikiwemo mahudhurio

Akishaanza kutohudhuria maprofesa wanaona dharau maana siku zote hawapendi dharau

Kwahiyo ukichanganya kukosa kwa marks za course works na fitina za maprofesa lazima afeli
 
Joel nae ni TO wa mwaka gani na kwa mchepuo upi huyu jamaa
Joel Nanauka nadhani alikuwa wa pili kitaifa kama sijakosea kidato cha nne mwaka 2002 akitokea kibaha mwaka huo wa Joel aliyekuwa TO ni Mosses Mwizarubi toka Ilboru kama sijakosea record.
 
Back
Top Bottom