TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Mkuu ulipita hapo mwaka gani
2006-2008, yaani kipindi tunaingia Tosa ndio hao kina Elias walikuwa wametoka na matokeo yao tulikuta yamebandikwa. Alikuwa gumzo!!! Nakumbuka kuna kipindi alikuja kupiga pindi la Physics ndipo nilipomuona, alikuwa na bonge la afro
 
Naweza kuielewa hali yako japo sikufahamu. Lakini ningebahatika kukuona kabla hujajiunga na chuo ningekupa somo la unyenyekevu. Chuo ni miaka michache tu, usingepoteza chochote kunyenyekea muda huo mfupi. JK alisema ni upepo tu, utapita. Baada ya hapo vyeti vyako vingekusemea kila mahali, na hata watu wangesema u mtu mzuri. Pengine hujachelewa, fanya hivyo hata sasa.
Mimi ni mwalimu nimefundisha wanafunzi wengi wa aina yako, na kwa ushauri wangu huu wananiheshimu hata sasa.
Walimu vyuoni wanajionaga Miungu watu kazi kutesa watu na kukomoa tu, bila sababu aisee, elimu ya bongo utopolo mtupu
 
Kutokana na kauli za wengi humu, jamaa ana arrogance ya kufa mtu.

Aliona kufundisha ndo kila kitu maishani.
Sasa wewe ulitaka afanye nini?
Passion yake ilikuwa kufundisha..

Kwahiyo kazi ya kufundisha unaiona ndogo?fikiria amevusha watu wangapi..
Unaona kufundisha si chochote?kafanye wewe hicho ulichotaka afanye.
 
2006-2008, yaani kipindi tunaingia Tosa ndio hao kina Elias walikuwa wametoka na matokeo yao tulikuta yamebandikwa. Alikuwa gumzo!!! Nakumbuka kuna kipindi alikuja kupiga pindi la Physics ndipo nilipomuona, alikuwa na bonge la afro
Nilimaliza hapo form four 2000 Mandela no.95
 
Gone too soon our genius young brother 🙏,u lived you touched many hearts,
 
Ku disco ni kufeli?
Ku disko ni kuwa discontinued... kwa sababu mbali mbali

Angekuwa amefukuzwa kwa kuchochea maandamano ya wanafunzi kupinga ugali mbichi wa kantini tungeambiwa

His legacy is a mixed bag. Aliongoza Form 6, akafeli chuo

A genius? It is what it isn't.

You can't cherry pick among your record.
 
Ku disko ni kuwa discontinued... kwa sababu mbali mbali

Angekuwa amefukuzwa kwa kuchochea maandamano ya wanafunzi kupinga ugali mbichi wa kantini tungeambiwa

His legacy is a mixed bag. Aliongoza Form 6, akafeli chuo.

A genius? It is what it isn't.

You can't cherry pick among the record you,
Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba huyo jamaa hakuwa Genius??
 
Walimu vyuoni wanajionaga Miungu watu kazi kutesa watu na kukomoa tu, bila sababu aisee, elimu ya bongo utopolo mtupu
Hivi Kuna waalimu wanatesa wanafunzi?!?! How?!?!
 
Awali ya yote poleni ndugu,jamaa na marafiki kwa msiba wa mpendwa wenu.Ukijulikana na members humu ndani inapendeza,siku ukiondoka duniani taarifa zitaandikwa,kumbe ustaa uko wa aina nyingi.Avumae baharini papa,wengine wapo,hawavumi lakini wapo
 
Mkuu kuandika kitabu tena Cha physics unaona ni Jambo dogo??
Hivi unaichukuliaje physics lakini?!?

Huyu jamaa ana wivu, hataki kukubaliana na ukweli kwamba Elias Alikuwa anajua mambo na si kujua tu alikuwa na uwezo wa pekee.
Physics, Mathematics na Chemistry na hata Biology, haya masomo kuandika chake na kikapokelewa na watu na bado kikaleta impact kubwa kwenye ufaulu wao hawa watu walionunua kitabu hicho si jambo dogo na si jambo ka mzaha mzaha. Elias alikuwa na uwezo wa Pekee, Mungu amlaze pema anapostahili.
 
Back
Top Bottom