screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
2006-2008, yaani kipindi tunaingia Tosa ndio hao kina Elias walikuwa wametoka na matokeo yao tulikuta yamebandikwa. Alikuwa gumzo!!! Nakumbuka kuna kipindi alikuja kupiga pindi la Physics ndipo nilipomuona, alikuwa na bonge la afroMkuu ulipita hapo mwaka gani