TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Principles za physics ni zilezile, hakuna invention au discoveries walimu wprinciple zi zilezile

Physics kitu gani? Kuna tofauti gani na Geography au Maths?
Nakubali hilo la principle ni zilelize kwa sababu ni GOD creature, sio kila mtu anaweza kuzi inovate na kuziweka kweny application, mfano wa kwanza wewe huwezi na hauoto weza kama jamaa.

yap ni kweli physics si kitu ?
ila kumbuka NO TECHNOLOGY na NO DISCOVERING without physics.
hesabu ni maisha hivyo kuilinganisha hesabu na physics ,waweza kuwa sahihi kwa akili yako , ila hauko sahihi kwa sababu hay masomo yanategemeana ,
ila kuilinganisha phyiscs na GEOGRAPHY , Unaitaji maombi hapo!
na kwahuo mtazamo sizani kama naweza bishana zaidi na wewe
 
Dah, umesoma story ya eistein na sir ISAC newtons , ambao ndo legend wa mathematics , physics , astronomy, and science in general,
wote walifeli mitihani , ulishajiuliza why?
uwezo wao ulikuw a zaidi ya watu wanaowafudisha

Eistein na Newton walifeli mitihani gani?
 
inatosha siyendelei kubishashana nawewe

Umechomoa eenh? Basi nadhani siku nyingine hutarudia.

Eistein and Newton walifeli mitihani?

Eistein na Newton wamefanya mambo ma vyuoni huko ambako unaandika kitu kinasomwa na miamba mienzio dunia nzima ndio unapitishwa kwamba wewe kweli kichwa kimesheheni ujazo.

Sio kuji showcase kwa watoto wa sekondari tuition za mchikichini na kunakili maswali ya vitabuni kuyajibu na kusemwa umeandika kitabu.

Heck no! Umedesa , you plagiarized that jazz, bro.

Elias Kihombo is a sad profile of massive underachievement.
 
You don't know that!

Unajuaje alilazimishwa kusoma Engineering na wazazi na jamii?

Alikuwa na passion ya kuandika vitabu ? Kitabu gani kaandika ???

ISBN namba ya vitabu vyake ni ngapi?

Muhammed Said kaandika vitabu vyake vinasema uhuru wetu uliletwa na wajomba zake wa Kariakoo waliobaguliwa, wild and wooly lakini vina ISBN! Vya marehemu mwamba Elias Kihombo namba zake ngapi ????
Hapo kwa Mohammed Said umenichekesha sana mkuu [emoji28]
 
nakubali hilo la principle ni zilelize kwa sababu ni GOD creature, sio kila mtu anaweza kuzi inovate na kuziweka kweny application, mfano wa kwanza wewe huwezi na hauoto weza kama jamaa.

yap ni kweli physics si kitu ?
ila kumbuka NO TECHNOLOGY na NO DISCOVERING without physics.
hesabu ni maisha hivyo kuilinganisha hesabu na physics ,waweza kuwa sahihi kwa akili yako , ila hauko sahihi kwa sababu hay masomo yanategemeana ,
ila kuilinganisha phyiscs na GEOGRAPHY , Unaitaji maombi hapo!
na kwahuo mtazamo sizani kama naweza bishana zaidi na wewe
Alntumia moja ya vitabu vyake

Nmeona maajabu sana

Sababu Ali simplify physics to it's maximum level

Mfano Kuna ishu moja ya rotation simply akarahasisha no deriving akasema tu acceleration ni simply force over resisting mass

So ukiapply kwenye rotating body acceleration itakua sawa na

Mgsintheta /Mass of the body + moment of inertia ya hyo body over radius square

Mani akili ya kuwaza mpka hapo simply ni hatari
 
Dah, umesoma story ya eistein na sir ISAC newtons , ambao ndo legend wa mathematics , physics , astronomy, and science in general,
wote walifeli mitihani , ulishajiuliza why?
uwezo wao ulikuw a zaidi ya watu wanaowafudisha
Einstein alipitia Hali ngumu Sana ya shule

Ngumu Sana
 
Kumbe ni mtoto wa Prof Kihombo wa MU?
Mungu ampumzishe Elias roho yake mahali pema peponi Ameni.
Kwa nini baba yake hakumpatia guidence & Counselling?
Mara nyingi watu ambao ni Gifted ni ngumu sana ku fit kwenye society. Wazazi pamoja na serikali wanatakiwa ku deal nao vizuri. Mfano Viongozi wa dini na Walimu waliosomea Psychology sio Lecturers wa Kiafrika ambao wenyewe wanajua kufundisha ni kutunga mitihani na kufanya marking tu!!!
 
Kwenye timetable yangu ya kujisomea,Geography ilikuwa hainipi presha ya kusoma,yaani kwa wiki naweza ipitia Mara mbili tu,lkn Physics, Hesabu,Chemistry, Biology, nilikuwa natamani niwe nayasoma muda wote,Pamoja na hayo bado Geography haikuniangusha,sasa kufananisha Geo na Physics ni makosa.
Ukiacha hiyo ya Olevel..Geog ya advance Ndiyo ni ngumu ila huwezi linganisha na physics..
Huu ni utani jamani.
 
Yaani we acha tu!!!,Hapa JF watu wengine wanajifanya wajuaji sana hata kubeza mafanikio ya watu wengine.Mtu muungwana hukubali mafanikio ya mwenzake lkn asiye muungwana huyabeza hata km yeye hajawahi fanya chochote na hajui kitu.
Hawataki kukubali kama jamaa alikuwa genius..
Ukute labda waliwahi kufaulu wakampita jamaa.
 
Back
Top Bottom