TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Unaposikia neno T.O inabidi uwe na heshima kidogo sio kubeza beza tu mara Kwan nn hakufanya hivi na vilevile hakuna garantii ya kwamba ukiwa TO basi utaishi maisha mazuri na pesa za madafu kiufupi ninachoona Kihombo angeweza kupambana na hivo vitu vingine na akavipata lakini Hobby yake kubwa naona ilikuwa n kurudisha Hii ni baada ya UDSM kumfanyia visa, jamaa akaona ya nn kuhangaikia chuo na wakati akili anazo so ndo nadhani akaanza projects zake za kufundisha mashule mbalimbali , NADHANI MLIOPITIA HIVI VYUO VIKUBWA MNAFAHAMU FIGISU ZA MAPROFESSA NA MALECTURES WENGI WASIVOPENDA WANAFUNZI MFAULU VIZURI ILI MSIWAZIDI GPA ZAO ZA MIAKA HIYOO[emoji3][emoji3][emoji3]

Alipenda watu waijue micro science since katika fundisha zake nyingi alikuwa anasemea kuwa watu wengi wanaijua ile sayansi ya kukariri kariri tu, akawa anajitahidi sasa kuonyesha vitu jinsi vilivyotokea sometime unaweza hudhuria pindi lake usielewe kitu chochote kile ukabaki kupaniki tu lakini mwisho wa siku ukitulia ndo utaelewa kwamba jamaa was EXCEPTIONAL ESPECIALLY IN PHYSICS

RIP KIHOMBO
 
Kwasababu wewe ni kilaza.

Physics ni somo la kawaida kama mengine. Kuna wanaopata A ya physics na wengine vichwa wanakosa hata B ya History.

Usifanye exaggeration kwa kitu ambacho ni cha kawaida sana.

Hao kina Mgote na Muddy walikuwa wanatoa hamdouts ambazo ukiziunganisha unapata kitabu.
Sawa Mimi kilaza..hebu unganisha nawewe utoe hicho kitabu..

Au na wewe kuwa T.O ili tujue kweli jamaa alikuwa wa kawaida.

Ukikubali tu kuwa jamaa alikuwa anajua hutapungukiwa chochote

Kilaza ni wewe unayelinganisha econometrics na physics
 
Physics tunafanya integration ,geography je Kuna differentiation
Wtf is intergration? Hao wenye A za physics walikosa hata B za History au Geography?

Au mwenye A ya Physics ni kichwa kuliko mwenye A ya Langauge?

Huyo Elias mbona hakupata A zote O'level kama alikuwa genious? Akapata div 1 ya mwisho huko.

Kupata A zote PCM hakumfanyi awe genious wa karne. Kuandika kitabu nako si jambo la kuumiza kichwa.

Angegundua vitu na kupublish papers kama kina einstein au newton ingekuwa mind blowing.

He's just a mere teacher who knows how derive formulars that were invented years ago.
 
nakubali hilo la principle ni zilelize kwa sababu ni GOD creature, sio kila mtu anaweza kuzi inovate na kuziweka kweny application, mfano wa kwanza wewe huwezi na hauoto weza kama jamaa.

yap ni kweli physics si kitu ?
ila kumbuka NO TECHNOLOGY na NO DISCOVERING without physics.
hesabu ni maisha hivyo kuilinganisha hesabu na physics ,waweza kuwa sahihi kwa akili yako , ila hauko sahihi kwa sababu hay masomo yanategemeana ,
ila kuilinganisha phyiscs na GEOGRAPHY , Unaitaji maombi hapo!
na kwahuo mtazamo sizani kama naweza bishana zaidi na wewe
Hoja ni kwamba kuandika kitabu hakumfanyi mtu aonekane ni genious. Manake anaunganisha handouts.

Mtu aliepata A ya physics advance na akapata C ya history olevel unamuweka kundi gani?

Anabaki kuwa genious?
 
Leo ndio nimekumbuka kuwa nilimaliza nae o' level Tosamaganga .
 
Wtf is intergration? Hao wenye A za physics walikosa hata B za History au Geography?

Au mwenye A ya Physics ni kichwa kuliko mwenye A ya Langauge?

Huyo Elias mbona hakupata A zote O'level kama alikuwa genious? Akapata div 1 ya mwisho huko.

Kupata A zote PCM hakumfanyi awe genious wa karne. Kuandika kitabu nako si jambo la kuumiza kichwa.

Angegundua vitu na kupublish papers kama kina einstein au newton ingekuwa mind blowing.

He's just a mere teacher who knows how derive formulars that were invented years ago.
Tell me Bro what's your point

You started Good by pointing out tuna mconsider vpi mtu intelligent uliongea imagination and damn i saw you as a damm genius guy

Anyway hakuna sehemu tumesema kihombo alkua genius kuliko mtu yeyote hapa Tanzania

So tell me what's yo point

Una ugomvi na kihombo or anything like that I need to know
 
Hawa Tanzania One sijawahi ona mchango wao kwa taifa hili..wengi huishia kuwa waajiriwa wasio hata na mchango wenye kuleta mabadiliko kwenye taasisi. Ni sifa za Kijinga ambazo katika ulimwengu wa sasa ni useless. Dunia ya Sasa inataka Innovators sio As za kwenye vyeti.
 
Wtf is intergration? Hao wenye A za physics walikosa hata B za History au Geography?

Au mwenye A ya Physics ni kichwa kuliko mwenye A ya Langauge?

Huyo Elias mbona hakupata A zote O'level kama alikuwa genious? Akapata div 1 ya mwisho huko.

Kupata A zote PCM hakumfanyi awe genious wa karne. Kuandika kitabu nako si jambo la kuumiza kichwa.

Angegundua vitu na kupublish papers kama kina einstein au newton ingekuwa mind blowing.

He's just a mere teacher who knows how derive formulars that were invented years ago.
Yes he was a teacher

He was dumb as hell could that make you happy and cool you down

Hamna mtu amesema kihombo alkua genius than any person

But he made me understand the ways of physics that though I am medicine person I can still explain them to a person without going to read them on the book

Simulacra and Simulations. ...

The Dichotomy Paradox.

Vasiliev Equations. ...

Maxwell's Equations. ...

Gödel's Incompleteness Theorem. ...

The Theory of General Relativity. ...

Quantum Mechanics

tennis racket theorem

String Theory

Without going back to a book all from my head because he taught me not to crame but to understand the abstract core points

And for that I thank him

So if you can please stop , kihombo is not a genius as you are saying so stop

We good. ! [emoji2936][emoji124]
 
Sawa Mimi kilaza..hebu unganisha nawewe utoe hicho kitabu..

Au na wewe kuwa T.O ili tujue kweli jamaa alikuwa wa kawaida.

Ukikubali tu kuwa jamaa alikuwa anajua hutapungukiwa chochote

Kilaza ni wewe unayelinganisha econometrics na physics

Angekuwa na A zote o'level kidogo angeanza kuonekana ni genious.

Usilazimishe nikubali jamaa alikuwa anajua wakati alikuwa just average, chuo amedisco, huyo utasemaje ni genious?

Kina Chegere waliongoza kuanzia Nursery mpaka PHD, hao ndo magenious. Huyo wa kwenu kupata ki-A cha Physics ndo unamuona genious? Kwamba wewe huwezi kupata hiyo A ndo kabisa unafikiria kumuabudu.

Miaka nenda rudi, T.O wa A'level wanatoka science hasa PCM, inaonesha jinsi somo lilivyo rahisi. Mara ngapi umesikia mtu anakuwa T.O kupitia arts? EGM, HGL, HGE, HKL? Kwanini iwe PCM na sio HKL?

Na kwa taarifa yako, o'level nilipata div 1.8 na a'level nilipata div 1.4. How consistncy i was. Hata hiyo physics yako nilipata A o'level.

Nilikulia mazingira ya wachumi na bankers, ndo maana chuo nikasoma uchumi. Science haikuwahi kuwa passion yangu.

Na kwa matokeo niliyopata o'level nilikuwa na uwezo wa kwenda combination yeyote a'level. Sikuwa kilaza mpaka nione hiyo physics ni mind blowing.
 
Tell me Bro what's your point

You started Good by pointing out tuna mconsider vpi mtu intelligent uliongea imagination and damn i saw you as a damm genius guy

Anyway hakuna sehemu tumesema kihombo alkua genius kuliko mtu yeyote hapa Tanzania

So tell me what's yo point

Una ugomvi na kihombo or anything like that I need to know
Huyo ni mwenzako anayesema kuandika kitabu cha physics ni genious.

Kupata A ya physics ni genious. Yes, anaweza kuwa genious ila sio kwa level ambayo watu wanataka kutuaminisha kwamba physics pekee ni benchmark ya kuonekana genious.
 
Okay uko sahihi

He was not genius

But some how he was different , tried to use his craming gift well different from me and you maybe coz I don't know you

Let's close the agenda then
 
Wtf is intergration? Hao wenye A za physics walikosa hata B za History au Geography?

Au mwenye A ya Physics ni kichwa kuliko mwenye A ya Langauge?

Huyo Elias mbona hakupata A zote O'level kama alikuwa genious? Akapata div 1 ya mwisho huko.

Kupata A zote PCM hakumfanyi awe genious wa karne. Kuandika kitabu nako si jambo la kuumiza kichwa.

Angegundua vitu na kupublish papers kama kina einstein au newton ingekuwa mind blowing.

He's just a mere teacher who knows how derive formulars that were invented years ago.
Kugundua kitu nadhani hili ni swala la kimfumo zaidi, sifikiri kama nchi yetu inafanya tafiti au kituo cha kufanya tafiti za kisayansi/ engineering problem ambacho kinaweza pokea different ideas from different people na kuzifanyia kazi zaidi, zaidi zinaishia mavyuoni na kichwani tu, pia umaskini nao unachangia.

Mifumo yetu mingi ipo kisiasa zaidi , ndo mana saiz unaona hata wahandisi wadogo wanao Bora wafanye siasa , pia swala la undugulization nalo pia linaharibu elimu yetu na kuonekana haina thamani, ndo mana leo hata accountant au mwanafunzi wa form 4 anajiita engineer.
 
Yes he was a teacher

He was dumb as hell could that make you happy and cool you down

Hamna mtu amesema kihombo alkua genius than any person

But he made me understand the ways of physics that though I am medicine person I can still explain them to a person without going to read them on the book

Simulacra and Simulations. ...

The Dichotomy Paradox.

Vasiliev Equations. ...

Maxwell's Equations. ...

Gödel's Incompleteness Theorem. ...

The Theory of General Relativity. ...

Quantum Mechanics

tennis racket theorem

String Theory

Without going back to a book all from my head because he taught me not to crame but to understand the abstract core points

And for that I thank him

So if you can please stop , kihombo is not a genius as you are saying so stop

We good. ! [emoji2936][emoji124]
Mi sina neno na marehemu.

I appriciate his hustle.

Ila nipo na hawa jamaa flani wanaoona kujua physics ndo ugenious ulipo.

Kwamba kuandika kitabu cha physics na kupata A ya physics ndo genious. Wasijue kwamba hao wanaopata A za physics wanapata C za history au geography.
 
Okay broh

Nmekuelewa [emoji2936][emoji2936]
 
Kugundua kitu nadhani hili ni swala la kimfumo zaidi, sifikiri kama nchi yetu inafanya tafiti au kituo cha kufanya tafiti za kisayansi/ engineering problem ambacho kinaweza pokea different ideas from different people na kuzifanyia kazi zaidi, zaidi zinaishia mavyuoni na kichwani tu, pia umaskini nao unachangia.

Mifumo yetu mingi ipo kisiasa zaidi , ndo mana saiz unaona hata wahandisi wadogo wanao Bora wafanye siasa , pia swala la undugulization nalo pia linaharibu elimu yetu na kuonekana haina thamani, ndo mana leo hata accountant au mwanafunzi wa form 4 anajiita engineer.
Nakubaliana na wewe asilimia zote.
 
Back
Top Bottom