waliyumo Jr110
Member
- Sep 26, 2020
- 31
- 23
Unaposikia neno T.O inabidi uwe na heshima kidogo sio kubeza beza tu mara Kwan nn hakufanya hivi na vilevile hakuna garantii ya kwamba ukiwa TO basi utaishi maisha mazuri na pesa za madafu kiufupi ninachoona Kihombo angeweza kupambana na hivo vitu vingine na akavipata lakini Hobby yake kubwa naona ilikuwa n kurudisha Hii ni baada ya UDSM kumfanyia visa, jamaa akaona ya nn kuhangaikia chuo na wakati akili anazo so ndo nadhani akaanza projects zake za kufundisha mashule mbalimbali , NADHANI MLIOPITIA HIVI VYUO VIKUBWA MNAFAHAMU FIGISU ZA MAPROFESSA NA MALECTURES WENGI WASIVOPENDA WANAFUNZI MFAULU VIZURI ILI MSIWAZIDI GPA ZAO ZA MIAKA HIYOO[emoji3][emoji3][emoji3]
Alipenda watu waijue micro science since katika fundisha zake nyingi alikuwa anasemea kuwa watu wengi wanaijua ile sayansi ya kukariri kariri tu, akawa anajitahidi sasa kuonyesha vitu jinsi vilivyotokea sometime unaweza hudhuria pindi lake usielewe kitu chochote kile ukabaki kupaniki tu lakini mwisho wa siku ukitulia ndo utaelewa kwamba jamaa was EXCEPTIONAL ESPECIALLY IN PHYSICS
RIP KIHOMBO