TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Unaposikia neno T.O inabidi uwe na heshima kidogo sio kubeza beza tu mara Kwan nn hakufanya hivi na vilevile hakuna garantii ya kwamba ukiwa TO basi utaishi maisha mazuri na pesa za madafu kiufupi ninachoona Kihombo angeweza kupambana na hivo vitu vingine na akavipata lakini Hobby yake kubwa naona ilikuwa n kurudisha Hii ni baada ya UDSM kumfanyia visa, jamaa akaona ya nn kuhangaikia chuo na wakati akili anazo so ndo nadhani akaanza projects zake za kufundisha mashule mbalimbali , NADHANI MLIOPITIA HIVI VYUO VIKUBWA MNAFAHAMU FIGISU ZA MAPROFESSA NA MALECTURES WENGI WASIVOPENDA WANAFUNZI MFAULU VIZURI ILI MSIWAZIDI GPA ZAO ZA MIAKA HIYOO[emoji3][emoji3][emoji3]

Alipenda watu waijue micro science since katika fundisha zake nyingi alikuwa anasemea kuwa watu wengi wanaijua ile sayansi ya kukariri kariri tu, akawa anajitahidi sasa kuonyesha vitu jinsi vilivyotokea sometime unaweza hudhuria pindi lake usielewe kitu chochote kile ukabaki kupaniki tu lakini mwisho wa siku ukitulia ndo utaelewa kwamba jamaa was EXCEPTIONAL ESPECIALLY IN PHYSICS

RIP KIHOMBO
nilishawai kutoka kapa mara kadhaa itakubid ukarudie, ila ukienda Man to man ,
 
Wtf is intergration? Hao wenye A za physics walikosa hata B za History au Geography?

Au mwenye A ya Physics ni kichwa kuliko mwenye A ya Langauge?

Huyo Elias mbona hakupata A zote O'level kama alikuwa genious? Akapata div 1 ya mwisho huko.

Kupata A zote PCM hakumfanyi awe genious wa karne. Kuandika kitabu nako si jambo la kuumiza kichwa.

Angegundua vitu na kupublish papers kama kina einstein au newton ingekuwa mind blowing.

He's just a mere teacher who knows how derive formulars that were invented years ago.
wewe ni kilaza, huna unachojua
 
Kaandika vitabu au kaunganisha materials mbalimbali kutoka ktk vitabu vya wazungu??? No wonder alisema waliompita ni Mungu na Mzungu!

Kuna ma TOs wan nguvu wengi sana na walifaulu vizuri sana na wapo wanatumika sehemu nzuri sana! Unamjua Lusekeli?? Emil Patrick? Ma wengine wengi tu ni ma directors na ma technicians na madaktari wa nguvu kabisa wametulia!

Most of people humu mnaongea kwa juu juu kuhusu uwezo wa mtu kiakili. Watu wenye uwezo kiakili ni wengi sana sema ni wakati gani kaanza kujitambua? Kuna waliofeli la saba wakaja kufaulu single digit o level kuna waliofeli o level wakaja kuchana form six vibaya sana so inategemea ni wakati gani mtu kajitambua au kapata msukumo.

Akili ya mtu ipo ktk imagination fullstop ndio maana huyu jamaa alikua akimpenda Einstein! Wakati wengine wana kariri wapo ambao baada ya kusoma kuna clear picha wanaona kuhusu mambo wanayosoma! Jiulize watoto hawa wanaoitwa prodigy! Mtoto wa mwaka mmoja anasoma mpaka quantilion digit zaidi ya 15 huko anasoma wazazi wanashangaa maana wapo na mtoto kila siku ndani na hakuna mzazi anayeweza kumfundisha mtoto wa mwaka mmoja those stuffs

Akili ni imaginations kuna mambo mtu anaona wengine ni ngumu kuona hapo ndio kunatokea utafauti wa akili! Hizo logic zina mwisho ndio maana Einstein alisema Logic will take u from point A to B but Imagination will take u anywhere na hiyo ndio akili.

Ukitaka kujua kiwa imagination ndio kila kitu leo hii wewe mtu wa chuo ukirudishwa o Level nadhani utapata A Zote kwa sbaabu una picha kubwa ya kutosha. Na ukitaka kumpima mtu akili usimpime kwa kusoma soma weka wayoto ambao hawajawahi kabisa kuwa ktk mazingira fulani kisha wape task utaona wapo ambao wataelewa faster na wengine kidogo na wengine hawatakia hata na mwanga wa what its all about! That is imagination!
Nimekuelewa sana chief.
 
Tansia ya physics na mathematics kusema kweli Imepata pigo kubwa nchini karibuni. Muddy physics katangulia tena leo Kihombo. Janjajanja akina arts History geography yanazidi kudunda tu kwenye ardhi ya mola
em futa ulichokiandika hapa

kifo hakichagui huenda hata hao unawaita janjajanja wanafariki sana2 ni vile sio superstar kama huyu so kua na akiba ya maneno ndugu
Dogo inakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
Huu uzi unanivunja mbavu sasa
 
Kaandika vitabu au kaunganisha materials mbalimbali kutoka ktk vitabu vya wazungu??? No wonder alisema waliompita ni Mungu na Mzungu!

Kuna ma TOs wan nguvu wengi sana na walifaulu vizuri sana na wapo wanatumika sehemu nzuri sana! Unamjua Lusekeli?? Emil Patrick? Ma wengine wengi tu ni ma directors na ma technicians na madaktari wa nguvu kabisa wametulia!

Most of people humu mnaongea kwa juu juu kuhusu uwezo wa mtu kiakili. Watu wenye uwezo kiakili ni wengi sana sema ni wakati gani kaanza kujitambua? Kuna waliofeli la saba wakaja kufaulu single digit o level kuna waliofeli o level wakaja kuchana form six vibaya sana so inategemea ni wakati gani mtu kajitambua au kapata msukumo.

Akili ya mtu ipo ktk imagination fullstop ndio maana huyu jamaa alikua akimpenda Einstein! Wakati wengine wana kariri wapo ambao baada ya kusoma kuna clear picha wanaona kuhusu mambo wanayosoma! Jiulize watoto hawa wanaoitwa prodigy! Mtoto wa mwaka mmoja anasoma mpaka quantilion digit zaidi ya 15 huko anasoma wazazi wanashangaa maana wapo na mtoto kila siku ndani na hakuna mzazi anayeweza kumfundisha mtoto wa mwaka mmoja those stuffs

Akili ni imaginations kuna mambo mtu anaona wengine ni ngumu kuona hapo ndio kunatokea utafauti wa akili! Hizo logic zina mwisho ndio maana Einstein alisema Logic will take u from point A to B but Imagination will take u anywhere na hiyo ndio akili.

Ukitaka kujua kiwa imagination ndio kila kitu leo hii wewe mtu wa chuo ukirudishwa o Level nadhani utapata A Zote kwa sbaabu una picha kubwa ya kutosha. Na ukitaka kumpima mtu akili usimpime kwa kusoma soma weka wayoto ambao hawajawahi kabisa kuwa ktk mazingira fulani kisha wape task utaona wapo ambao wataelewa faster na wengine kidogo na wengine hawatakia hata na mwanga wa what its all about! That is imagination!
Duuh noma sana i got them points
 
May his soul rest in eternal peace.

Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
[emoji134][emoji134][emoji134] ehhhh[emoji23]
 
What do you mean hakupata nafasi kujiendeleza, alinyimwa mkopo ???

Huyu sio pointi tatu peke yake kwenye historia ya TZ , wengine mbona waliendelea vizuri?

Elias was a small thinker. Kwa yeye, ma tuition ya sekondari na Alteza ya bomba mbili was all he could dream of.

Si kosa letu jamii au serikali kwamba alifeli chuo au hakuendelea kitaaluma. Kosa la serikali ni kuwaita hawa watoto Tanzania One wakati mitihani sio standardized, hujui nani kampita nani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Angekuwa na A zote o'level kidogo angeanza kuonekana ni genious.

Usilazimishe nikubali jamaa alikuwa anajua wakati alikuwa just average, chuo amedisco, huyo utasemaje ni genious?

Kina Chegere waliongoza kuanzia Nursery mpaka PHD, hao ndo magenious. Huyo wa kwenu kupata ki-A cha Physics ndo unamuona genious? Kwamba wewe huwezi kupata hiyo A ndo kabisa unafikiria kumuabudu.

Miaka nenda rudi, T.O wa A'level wanatoka science hasa PCM, inaonesha jinsi somo lilivyo rahisi. Mara ngapi umesikia mtu anakuwa T.O kupitia arts? EGM, HGL, HGE, HKL? Kwanini iwe PCM na sio HKL?

Na kwa taarifa yako, o'level nilipata div 1.8 na a'level nilipata div 1.4. How consistncy i was. Hata hiyo physics yako nilipata A o'level.

Nilikulia mazingira ya wachumi na bankers, ndo maana chuo nikasoma uchumi. Science haikuwahi kuwa passion yangu.

Na kwa matokeo niliyopata o'level nilikuwa na uwezo wa kwenda combination yeyote a'level. Sikuwa kilaza mpaka nione hiyo physics ni mind blowing.
Daaah!! Hongera sana mkuu, miaka ipi ulimaliza shule?
 
Back
Top Bottom