Angekuwa na A zote o'level kidogo angeanza kuonekana ni genious.
Usilazimishe nikubali jamaa alikuwa anajua wakati alikuwa just average, chuo amedisco, huyo utasemaje ni genious?
Kina Chegere waliongoza kuanzia Nursery mpaka PHD, hao ndo magenious. Huyo wa kwenu kupata ki-A cha Physics ndo unamuona genious? Kwamba wewe huwezi kupata hiyo A ndo kabisa unafikiria kumuabudu.
Miaka nenda rudi, T.O wa A'level wanatoka science hasa PCM, inaonesha jinsi somo lilivyo rahisi. Mara ngapi umesikia mtu anakuwa T.O kupitia arts? EGM, HGL, HGE, HKL? Kwanini iwe PCM na sio HKL?
Na kwa taarifa yako, o'level nilipata div 1.8 na a'level nilipata div 1.4. How consistncy i was. Hata hiyo physics yako nilipata A o'level.
Nilikulia mazingira ya wachumi na bankers, ndo maana chuo nikasoma uchumi. Science haikuwahi kuwa passion yangu.
Na kwa matokeo niliyopata o'level nilikuwa na uwezo wa kwenda combination yeyote a'level. Sikuwa kilaza mpaka nione hiyo physics ni mind blowing.