Hisia zangu ni kuwa.
Jamaa alifeli chuo kwa sababu hakuhudhuria au hakuvisoma vitu,akakuta mitihani vitu havijui.
Course nyingi za chuo hata vitu vikiwa simple ,usiposoma lazima upoteane.
Izingatiwe kuwa huyu Elias alikuwa anasoma sana A level,msuli mnene ndio akafaulu sana.
Chuo hakusoma vizuri,mambo yakae
1)Huyo jamaa alipiga msuli mnene A level. Aliinvest kwenye time. Ikamlipa
2)Huyo jamaa chuo haku invest kwenye time,akienda kwenye mitihani,maruwe ruwe. Telecommunications
3) Alivyorudi tena. Hakuinvest kwenye time. Maruwe ruwe . Petroleum
Kufelishwa Na maprof ni vijisababu.
Hata Ukiwa Genius(yawezekana Na yeye ni Genius) usiposoma ,chuo kipigo nje nje.
Angekuwa anafundisha O level alipokuwa A level,asingepata hiyo 1:3PCM ,wanafunzi wa O level wangesema Ticha wetu ameonewa Na BAMAGA.