I think wewe ndiye bila shaka hauko serious, na sina hakika kama unajiamini. Kwanza, umejibu hoja fulani (kwa kukurupuka!?). Umeulizwa endapo una hakika kama umelielewa swali!? Bila kujibu "Ndiyo" ama "Hapana," kama kawaida yako umekurupukia kujibu kwa kirefu swali ambalo halikuulizwa plus hoja & swali lingine juu ya maelezo. Ungekuwa "serious" kama unavyodai, ungekiri tu mapema kwamba ama umelielewa swali husika ama hukuliewa. Usione aibu, aisee! Haiwezi kukuondolea wala kukupunguzia sifa yako ya TO 2016! "Elimu haina chama!"