Restaurant nzuri Dar es Salaam

Pesa yake mnataka kumpangia jinsi ya kutumia wakuu?
hapana mkuu, hatumpangii... kiuhalisia kitu anachokifanya mimi na wengi hua tunakifanya pia..

ni vile tu watu(baadhi) tume-auto develop kasumba ya kujiona umemtangulia mwenzako kufanya kitu flani,... haina mantiki ila ni basi tu.
walio civilized na madiaspora wanauita "uswahili" au "ubongobongo"
 
nmekuelewa mkuu.. wacha niombe radhi kwa mwenye uzi, kama alikua amekereka.
 
nmekuelewa mkuu.. wacha niombe radhi kwa mwenye uzi, kama alikua amekereka.
Wewe omba radhi tu.

Usi i qualify hiyo radhi na "kama alikuwa amekereka".

Kitu muhimu ni wewe kutambua kwamba umekosea na kuomba radhi.

Kama amekereka au hajakereka si muhimu.

Kwa sababu, hii ni public forum. Watu wanajifunza mahusiano.

Na ulichofanya awali mi kumnyanyapaa mtu.
 
Take no offense from my comments my brother , my point was to correct your response kwa namna haujamchukulia serious mleta uzi.

Mimi pia nimekutana na scenario ya namna hiyo several times kiasi kwamba imeniumiza sana akili. But the thing is tusiwe tunageuza hii platform kuwa kijiwe cha mizaha. Don't take it personal or any other way.
 
nimekupata mkuu, no offence and nothing personal.
 
Achana na wapondaji mkuu, labda bado kula kulala..
Mikocheni ..GEEZ HANGOUT karibu kwa mzee mwinyi
Mbezi beach - barabara ya chini - WINGMAN. karibu na club Hangover
Nyingine mbezi beach - NJIANI karibu na BOT FLATS
NELLYS INN kwa zena mbezi beach
Bahari beach- RUDDYS FARM

Bunju - POSTO BELLA, karibu na mianzini ingia ndani.
Ununio MASAI MARA
 
POSTO BELLA wana sea food hivi?!
 
Nenda KARAMBEZI CAFE ipo karibu na Sea cliff,masaki hutajuta hata kidogo.unaweza google ukaicheki..It has a very nice Scenery..Fantastic Ocenic view..
 
Reactions: len
POSTO BELLA wana sea food hivi?!
Wanazo..
Hata masai mara au pale africana karibu na giraffe kwa CHEFKILE..
Hawa wote utawapata Instagram. Nakushauri ufanye reservation kwanza usikose meza mkuu
 
Reactions: len
Wanazo..
Hata masai mara au pale africana karibu na giraffe kwa CHEFKILE..
Hawa wote utawapata Instagram. Nakushauri ufanye reservation kwanza usikose meza mkuu
Yeah na hiyo ndio muhimu
 
Wewe mwenyewe hujamjibu nilitegemea baada ya hizo paragraph nikute umempa jibu.
 
Kwa kweli hawa watoto wanaiharibu JF hasa GT kwa kasi ya ajabu sana, kwao kila kitu mzaha mzaha. Matumizi mabaya kabisa ya bundle zao..
 
Asante sana brother
 
Wanazo..
Hata masai mara au pale africana karibu na giraffe kwa CHEFKILE..
Hawa wote utawapata Instagram. Nakushauri ufanye reservation kwanza usikose meza mkuu
Asante sana brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…