mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
hapana mkuu, hatumpangii... kiuhalisia kitu anachokifanya mimi na wengi hua tunakifanya pia..Pesa yake mnataka kumpangia jinsi ya kutumia wakuu?
ni vile tu watu(baadhi) tume-auto develop kasumba ya kujiona umemtangulia mwenzako kufanya kitu flani,... haina mantiki ila ni basi tu.
walio civilized na madiaspora wanauita "uswahili" au "ubongobongo"